Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nimejiunga juzi hapa baada yakuona nimesoma sana ya wengine humu ndani,sasa naomba munipokee ili na mimi nianze kutupia maoni yangu na mawazo yangu kulingana na msitakabali wa TANZANIA YETU NA DUNIA KWA UJUMULA

Asante kwa kunielewa naomba ushirikiano wenu.

Rudi jukwaa la utambulisho,ukakaguliwe
 
Uzi ishaingiwa Kirusi!! Vigumu kupata msaada wa kueleweka kwa sasa.

Hata hivyo uko wapi?

Jaribu kupitia nyuzi za Wadau wengine humu ndani waliowahi kuomba msaada ka wewe hata kama kianzio wanakuzidi. Ninaamini utaokota mawili-matatu! Pole Mkuu!
 
Pole mkuu,uzi umeingia doa Jifunzi kuwa mpole hata ukikejeliwa.
 
Habar jamiiforums.com
Ni matumaini yangu kwamba ni wazima wa afya tele.
Binafsi nimefikia sehemu nikawaza miaka tano ijayo natakiwa niwe nimepiga hatua.
japo nijitegemee ktk shughuli zangu niachane na kuajiriwa au kuuxa vitu ambavyo hujui ni nani /saa ngapi/siku gani mteja atakuja
Nisiwachoshe msinichoshe nina laki mbili fedha za kitanzania,nikipiga mahesabu naona hayaendi kokote kutokana na bidhaa kupanda holela kwa maana ya soko huria.
mwanzo wazo langu nilitegemea nifanye kilimo lakini kutokana na mtaji mdogp kilimo dintakiweza ukizingatia mvua naxo hazitabiriki.
Nikaishia kwenye ufugaji wa kuku kienyeji lakini nao unakua mgumu maana sina hata banda la kuku.
Naombeni mnisaidie hii laki mbili niifanyie nini.

Nb:Sina kitu chochote ninachotegemea kwa sasa.
Kwenu wadau.

jaribu kufanya kilimo cha umwagiliaji
 
Siku ingine ukitaka ushauri usigusie itikadi au imani za watu utaukosa ushauri.
Japokuwa umesema huna eneo/site hapo napata ugumu kukushauri sababu ka sungura hako kadogo sana.
Lakini ungekuwa na eneo na una kilo mbili ningekushauri ufanye kilimo cha fasta kama utakuwa karib na chanzo cha maji.
Panda vitunguu swaumu ni mradi mzuri.
Anzisha bustani ya nyanya kwa wingi.
Hizo ni biashara zakukupa return ndani ya miezi mitatu.
 
Mkuu fuga kuku tu ila watengenezee mazingira mazuri kuondokana na maradhi na usiwe bahili kwenye dawa halafu uwe mstahmilivu!
 
Siku ingine ukitaka ushauri usigusie itikadi au imani za watu utaukosa ushauri.
Japokuwa umesema huna eneo/site hapo napata ugumu kukushauri sababu ka sungura hako kadogo sana.
Lakini ungekuwa na eneo na una kilo mbili ningekushauri ufanye kilimo cha fasta kama utakuwa karib na chanzo cha maji.
Panda vitunguu swaumu ni mradi mzuri.
Anzisha bustani ya nyanya kwa wingi.
Hizo ni biashara zakukupa return ndani ya miezi mitatu.

Samahani mkuu kama kuna niliowakwaza.
Kuhusu huu mradi nimesema sina eneo kwa maana ya mabanda ya kufugia kuku maana niliona ndio mradi rahisi kuufanya.
 
Kama ni kuku kuna uzi jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji,pitia utapata namna ya kuanza.
Kuku kama unaweza pata kuanzia mita square kumi na kuendelea utafuga tuu. Ukipata eneo ukianza na jogoo watano tetea 10 au 15,ukawatibu wanaweza anza taga ndani ya wiki kadhaa.
Zingatia chanjo na chakula
 
Vizuri kaka"""
 
Habar jamiiforums.com
Ni matumaini yangu kwamba ni wazima wa afya tele.
Binafsi nimefikia sehemu nikawaza miaka tano ijayo natakiwa niwe nimepiga hatua.
japo nijitegemee ktk shughuli zangu niachane na kuajiriwa au kuuxa vitu ambavyo hujui ni nani /saa ngapi/siku gani mteja atakuja
Nisiwachoshe msinichoshe nina laki mbili fedha za kitanzania,nikipiga mahesabu naona hayaendi kokote kutokana na bidhaa kupanda holela kwa maana ya soko huria.
mwanzo wazo langu nilitegemea nifanye kilimo lakini kutokana na mtaji mdogp kilimo dintakiweza ukizingatia mvua naxo hazitabiriki.
Nikaishia kwenye ufugaji wa kuku kienyeji lakini nao unakua mgumu maana sina hata banda la kuku.
Naombeni mnisaidie hii laki mbili niifanyie nini.

Nb:Sina kitu chochote ninachotegemea kwa sasa.
Kwenu wadau.

Samahani mkuu kama kuna niliowakwaza.
Kuhusu huu mradi nimesema sina eneo kwa maana ya mabanda ya kufugia kuku maana niliona ndio mradi rahisi kuufanya.

kumbe ni wale wale wenye I.D mbili tatu, ndio maana unaanzisha thread na kuitia madoa wewe mwenyewe! Kwa mtindo huo sidhani kama utapata ushauri sawia hapa!
 
kwa kuzingatia mtaji wa mdau hapo juu tena yupo dar eneo ambalo biashara yeyote atakayofanya itamlipa, tuanze hivi
1. Biashara ya kuuza nguo/viatu vya mtumba au vyote kwa pamoja huna haja ya kutafuta eneo kwenye masoko au minada kama vile mchikichini, unachohitaji ni eneo la wazi katika maeneo ya makazi ya watu, nguo za kina dada na masharo baro na za wazee zinalipa saana kama utajitofautisha na wengine, kwa biashara hii huwezi kosa faida ya 15 mpaka 30 au zaidi kwa siku.
2. Biashara ya matunda au mboga mboga au vyote kwa pamoja yaani genge, hii inalipa saana hasa ukiweka eneo la njia panda maeneo ambayo watu wengi wanapita hasa nyakati za jioni na asubuhi profit margin yake huwa 30% au zaidi yaweza pia kuwa chini ya hapo ila si kwa kiwango kikubwa na pia inategemeana na maeneo kwa mfano maeneo ya mwenge,sinza na mikocheni na sehemu za karibu na huko profit margini si chini ya 60% inalipa saana kama fursa twenzetu.

ushauri mzuri sana tena pengine bora kuliko ushauri nyingine
 
kama jibu ni ndio ni PM number yako nitakupgia nitakushauri utanilipa elf 5 tu baada ya kufanikiwa au nipgie.0658825141
 
Back
Top Bottom