Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

je unamjua mwanadada aliyeanza kuuza mitumba kwa msingi wa laki na nusu na sasa billionair?

ukiamini unaweza bas ushaweza tatizo hujaamini km unaweza ndio mana hata hiyo laki moja yako km unauidharau hiv

laki moja ni hela nyingi sana kwa kukuongezea thamani ila nin pesa ndogo kukupunguzia pia ...ningependa ungekuja hapa kwa ukiwa umeandaa biz ya kufanya juu ya mtaj wako kulingana na mazingira unayoyaishi na fursa zake then ma-great thinker wakushar ya ziada ..sina mengi ila kaa chini tafakar then urud na mrejesho ..
 
je unamjua mwanadada aliyeanza kuuza mitumba kwa msingi wa laki na nusu na sasa billionair?
ukiamini unaweza bas ushaweza tatizo hujaamini km unaweza ndio mana hata hiyo laki moja yako km unauidharau hiv
laki moja ni hela nyingi sana kwa kukuongezea thamani ila nin pesa ndogo kukupunguzia pia ...ningependa ungekuja hapa kwa ukiwa umeandaa biz ya kufanya juu ya mtaj wako kulingana na mazingira unayoyaishi na fursa zake then ma-great thinker wakushar ya ziada ..sina mengi ila kaa chini tafakar then urud na mrejesho ..

ahsante kaka nmekuelewa nalifanyia kazi wazo lako.
 
mkuu laki moja nenda kawekeze UTT( Unit Trust of Tanzania) afta six month utaona matunda yake usiile kama huna cha kufanyia,ila hiyo laki ulivyoiandika nina waswas kama hesabu ulifaulu hahaha!
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Habari. Mtaji sio tatizo ila ni fikra ndo kikwazo kikubwa, na madhali umekuja kuomba hizo fikra basi fanya moja kati ya fuatayo.

Tafuta madogo wawili waaminifu wa mtaani wasio kua na ajira. Nunua maji ya jumla uwape wazungushe wauze, waweza kupiga elfu 5 kila cku faida kwa kila mmoja, kwa mwezi una laki 3 mara 3 ya mtaji wako, mambo yakienda vizuri unachukua goli unauza.

Unaweza ukawapa birika la kahawa wakazunguka mtaani wakauza, unapiga bao. mtaji ukiwa mkubwa unaanzisha genge la kahawa, unamuweka mdada mmoja anapika maandazi, vitumbua, kashata, anapika kahawa, chai ya tangawizi mwengine kijana anauza na kusimamia mapato.

Unaweza kuzama karume ukatafuta pamba za ukweli za kike (ndio wanunuzi) na simple kali, ukazama chuo chochote hostel ukawaonesha. (japo sishauri sn maana unatakiwa uwe na taste nzuri ya mavazi).

Anzisha kibanda cha kuuza fruits, tafuta dogo mmoja, awe ana katakata anauza, na dumu moja atengeze fruits ile wanaoweka kwenye glasi, mtaji unatosha.

Tengeneza askirimu za mifuko, mpe dogo akatembeze kwenye shule, kule ndo target customers wako.

Mawazo yapo mengi, ukiona zote zimekushinda, chukua hiyo hela yote nenda kwa bim kubwa, mwambie mama, nimehangaika kitaa siku kadhaa nime make jiwe moja, lkn nimeangalia matumizi yake au nan wa kumpa sijaona mwingne zaidi yako, naomba upokee pesa hii najua sio kubwa ila ongezea ongezea kwenye shughuli zako, mbusu miguu hlf sepa zako. Yaan ndani ya siku chache sn utaona opportunity za kazi zinavokuja mwenyewe utashangaa. Badala ya kuipigia misele au kuhongea au kupiga maji (meongelea kiujumla) ni bora ufanye jambo moja la heri litakalo badilisha taswira ya maisha yako, n by da way dats the ryt ting 2 do, she derves it 2 b kissed in da legs every day, morning n nyt, take it 4m me, da pain of deliverin u in labor z mch az same az dying in a car crash, o drownin in water o smashed by a train in2 2 halfs, n dats js givin birth, didn't tok abt avn u in her belly 4 9 month suffern with frequently puking n mch more, cleann ur dyper, feedin u, mch more worst wen u cried n cnt tok coz ur very tiny 4 dat n she z tryin 2 make u mute n smile coz she's feeln grieve inside seein u her only angel rolling ur tears out from ur beautiful eyes, n carry u here n der, tickling ur cheeks n tok un understandle words (lyk abububuu, papapaaa, yalobby, ashunu shunuu, bababaaa, jst 2 make u smile n singing u songs 2 make u sleep) do u know how mch terrible dat job is?, mch more feeding u, takn u 2 school, iron ur dress, washn ur pants, taking gud care of u though she z so poor 4 dat bt still struggln n neva give up, wen u grow up u sayn shitty stuffs 2 her bt neva kicked u out of her home rather dan js keepn u in heart n olwys prayn gud 4 u. ur nat dat dumb js nat 2 kiss her, nat even 1nc. man u cnt repay ur mum, u telln me u cnt even kiss her feet? dat wl b a shame n disgrace 2 God, n wl olwys feel difficulty here n hereafter. Go kiss ur mum, n u wl c da relief.

Kila la heri.

Hii paragraph ya mwisho umeipest tena alieiandiaka ni Mnigeria.

Never my Brain tells lies to me.

Deny it?
 
help me nna laki moja mkononi niifanyie biashara gani nataka niingize kwnye biashara..? nisaidieni la svyo haitamaliza masaa mawili.
Laki moja haiandikwi hivyo ulivyoiandika inaandikwa 100,000/-

Koma inawekwa kati ya tarakimu baada ya kuacha tarakimu tatu nyuma.
 
Hii paragraph ya mwisho umeipest tena alieiandiaka ni Mnigeria.

Never my Brain tells lies to me.

Deny it?

Yawezekana uliota kama nitaandika hivi, ila kama una link ya hio page ya mnigeria basi iweke hapa na ninakuahidi nakupa laki moja na ww ukaanzishe mtaji, ila kama hauna hio link basi futa kauli yako ya na dhana zisizo za kweli na kuongea kitu usichokijua, ndo maana wabongo hatuendelei kwa kukipinga au kuzusha kitu bila reference. unavurugwa sio bure. na hiyo picha km ni yako hiyo kama ni wewe ulivo mzuri hivo sidhani kama watu wamekuacha kweli, haujavurugwa ww? Deny it.
 
Laki moja haiandikwi hivyo ulivyoiandika inaandikwa 100,000/-

Koma inawekwa kati ya tarakimu baada ya kuacha tarakimu tatu nyuma.

Mwanaume wa kweli anatoa solution sio kuangalia jinsi ya watu wanavoandika, message imefika hata angeandika jiwe moja au kilo moja kila mtu anajua km ni laki moja, ww unaonekana hata kutafuta pesa haujui unaomba kwa baba na mama, embu zama mtaani japo siku moja uhangaike kutafuta elfu 10 tu, pole yako.
 
Unashabikia ajira za watoto. Fikiria kama ni mwanao ndiyo anatembeza kahawa!!!

mkuu, tusiwe na mawazo kama ya watu wengi. madogo wapo mtaani wengi sana, hawaendi shule kutokana na umaskini na wazazi kutokua na uwezo wa wa kuwasomesha, hamna hata tajiri aliejitokeza kuwashomesha au kuwatunza wao wanatupa hela zao kwa mamiss tu na sehemu zisizo na faida, sasa ukiwaacha mtaani bila ya kitu cha kuwafanya wawe busy ndo wanaanza kuwa wezi na kuvuta magundi yao maana hela ya kula hamna na hana anachofanya lazma awe mwizi, so unapompa ajira kiukweli unamsaidia kwa namna moja au nyinge, angalia hiil suala kwa upana sio kwa mawazo ya karibu.

Nashkuru.
 
Hivi HMS Ushaanza biashara mojwapo ya ulizoshauriwa au bado unasubir mawazo mengine.Tunataka kusikia ushuhuda halisi kwako maana kuna watu hawaamini laki umoja ukiwa nayo inaweza kukufanya milionea na hivyo kusubiri hadi apate milioni kumi amabyo hana anakuwa mzee anaweza asiipate.

Tunasubiri kusikia kwako
 
Hivi HMS Ushaanza biashara mojwapo ya ulizoshauriwa au bado unasubir mawazo mengine.Tunataka kusikia ushuhuda halisi kwako maana kuna watu hawaamini laki umoja ukiwa nayo inaweza kukufanya milionea na hivyo kusubiri hadi apate milioni kumi amabyo hana anakuwa mzee anaweza asiipate.

Tunasubiri kusikia kwako

Kaka nadhani haujafatilia vizuri, sio mimi nilioomba ushauri, ni mtu mwingine kabisa alienzisha huu uzi, nadhani swali hili umuulize yeye, mimi nimempa mawazo tu ni kipi afanye. Ila kama wataka kujua kama nishawahi kufanya moja ya biashara nilizozitaja hapo juu, basi nasema nishawahi kufanya tena sio kipindi nimemaliza chuo au nipo chuo hapana, mie biashara ilikua akilini zamani sana tokea nipo primari napiga dili.

Ila hasa nimeanza kukomaa nlivoingia form one, chochote kilichokua mbele yangu kwangu mimi ni oppurtunity, kipindi nipo form one mwaka 2012 nlikua na jamaa wawili mmoja anauza kahawa mwingine anauza biskuti maji pipi na mazaga tofauti karanga anatembeza, kila mmoja nlikua napiga faidi buku mbili jelo kwahiyo wawili inakua buku tano kwa siku, enzi hizo.

Mimi nimejilea mwenyewe nimejisomesha mwenyewe mpaka chuo nimemaliza mwaka 2011 nimepiga mwenyewe, nakumbuka kipindi nipo chuo kila mtu ana business ya ku print page moja mia, lakini mm nkasema niwe tofauti najua ku type vzr km secretary kwa spidi nzuri nkasema nijiweke nondo zaidi mwez mmoja tu nkawa fiti nkaweka tangazo kuchapa na ku print mia 5 wkt stationary mia 7, watu walikua wanamiminika mpaka nakataa kazi, nlikua pekeangu, kwa cku napiga mpaka elfu 20. na pia nkasema nisikae bure nkajifundisha kutengeneza computa na simu, nkawa napiga hela mzee mpaka elfu 30 kwa siku ukijumlisha na ya ku printi mpaka 50 daily, nipo chuo hapo.

Ukishajitambua ww umetokea kwnye familia isioeleweka ki uchumi bac ni kupigana tu kitaa, mzunguka bure sio mkaa bure, asietafuta na asile, lazima upigike ukitaka sukari, mtaji sio isue, isue ni kutokata tamaa tu. kpnd cha likizo cha A'levo watu wanaenda kupiga tuition mie npo stand ya daladala natafuta madili, ukienda mitaa yng kote najulikana Alwatan sichagui kazi, watu walikua wanasema yule jamaa si anasoma chuo lkn yupo stand anakomaa lkn mie sijali sisomeshwi na mshua nitapiga simu ntatumiwa, nakomaa mwnywe kila kitu. kua bilionea sio idea au talent, kwangu mm ni kukomaa na kutokata tamaa.
 
Back
Top Bottom