Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

T


Diplomasia gani ya kiuchumi, unaongelea makinikia ama bandari ya bagamoyo.

Tatizo lako wewe nikama teja mlaunga DJ ukishakuita kamanda unajiona tayari unaakili kuiliko watuwote.
Teja la ukweli, ni lile teja lililolewa madaraka , kwa sasa lipo futi 6 chini juu mawe. Lilijiona bora sana, likajiona bila yeye Tz haiwezi kuwepo, Mungu kaliondoa, Tz inasonga mbele tena kwa furaha na amani. Shenzi lile
 
kilichofanya Ulaya na Marekani kuenelea hayakuwa hayo madhila, ni ugunduzi wa teknolojia, elimu na kuchapa kazi. Ni kama mwanafunzi alikuwa akienda shuleni peku huku akipita vichochoroni kisha useme kilichomsaidia kufaulu ni kwenda shuleni peku na kupita vichochoroni, wala siuo juhudi zake za kusoma.

Nchi kama ya Ujerumani ilikuwa imeendelea saa kabla ya WW1 na Hitler, Hitle kaleta ushenzi wake ndipo akaiponza ujerumani ikageuzwa kuwa kifusi, kifusi kabisa. Yaani Africa ingefanywa vile ambavyo Ujerumani ilifanywa ingechukua miaka hata 100 ku recover, sababu ukoloni wenyewe tu bado unatumika kisingizio hadi leo

Ujerumani ya sasa yenye uchumi mkubwa Ulaya imejengwa katika misingi ya elimu utafiti na uchapaji wa kazi, sio udikteta wala mauaji, Ujerumani iliyokuwa ikiongozwa kidikteta ilikuwa Ujerumani ya Mashariki na iliachwa nyuma sana na Ujerumani ya Magharibi

kuna nchi kama South Korea na Singapore, nchi hizi zipo ulimwengu wa kwanza licha ya kuwa na umasikini mkubwa na kutawaliwa na wazungu kama sisi tulivyopitia, kilichowaenedeza sio udikteta wa kuuwa watu, ni elimu, utafiti, kufanya kazi.

Hivi kwanza Magufuli alibadilisha kitu gani haswa ambacho asingeeza kubadilisha b8ila kupora watu fedha zao na kuiba uchaguzi?
 
hUyo mpotoshaji huyo achana nae, Hiyo Singapore wala haiongozwi kidikteta ina mifumo mizuri tu ya kidemokrasia. China ndio linchi la kidikteta lisiloruhusu hata watu kuwa na Dini
 
Teja la ukweli, ni lile teja lililolewa madaraka , kwa sasa lipo futi 6 chini juu mawe. Lilijiona bora sana, likajiona bila yeye Tz haiwezi kuwepo, Mungu kaliondoa, Tz inasonga mbele tena kwa furaha na amani. Shenzi l
Kamanda...
 
hII middl;e income inapigiwa promo ila hata King Mswati ametupita, Zimbabwe na matatizo yao yote wametupita pia
 
Kwa mfano ile airport ya Chato sasa ina kazi gani ya maana, kupunguza hasara labda wananchi wawe wanakaushia mazao yao kwenye njia ya kurukia ndege
 
Wewe usiwafanye watu wajinga Chama cha wafanyakazi kinauhusiano gani na siasa acha uujinga peleka huko kwa wenzio hukumu ndani sio size yako, unatengeneza maneno huenda hata elimu huna nenda kalime na upambane na maisha yako.
Sasa unabisha nini mkuu, TLS tu ilishavamiwa na kijani
 
Mwendazake alikua shetani


Unajua kuna wakati najiuliza nakosa majibu kuhusu mwendazake.

Hivi najiuliza kwanini alikua mkabila kiasi kile?Hivi inaingia akilini unateua watu wa kwenu tu na kupeleka miradi yote kwenu tu

Alinishangaza zaidi alivyobomoa nyumba kimara huku akizuia za mwanza akisema ni wapiga kura wake!!hapo najiuliza jee kwa kauli hii aliamini ukanda wake ndo wanaostahili kupewa kipaumbele?

Mwendazake hakua binadamu wa kawaida kama hakua binadam wa kawaida jamaa nahisi alikua mrundi duuuh


Mimi sijui hata ilikuaje akawa rais najiulizaga hadi leo, miaka michache tu nchi ikageuka jehanam ya kushughulika na wapinzani nchi ikayumba sekunde kadhaa

Haki ya mungu nawaambia angeendelea kuwepo hii nchi miaka michache mbeleni ingekuja kugeuka uwanja wa fujo au vita vya wenyewe kwa wenyewe sipachi picha huo uchato ungekuwaje km idea ya ukabila

Ilikua imefikia hatua hadi baadhi ya watu wa jamii yake ukimkosoa jpm wanakufuata inbox wanakutishia kifo kama ni mtandaoni au live ndo usiseme nilishawahi kutishiwa maisha na watu wa jamii yake mara nyingi tu yaani walijiona wao ndo raia na wenye haki wengine tulionekana kama wadudu tu ,takataka,wahujumu uchumi,mawakala wa mabeberu na maadui wa taifa

Asante mungu kwa kila hatua sijui ingekuaje.. eti mwendazake alikua na legacy acheni kuchekesha ndugu legacy ipi?

Hakua mtu wa kawaida, jamaa sidhan km ni mtanzania kamili ile roho hapana.




He was a devil
 
S
Sinahakika kama waliomchukia walikuwa wapigaji sijui nini mambo yote ulioyataja jamaa alikuwa muuonezi sana kwamfano mimi mvuvi ziwa tanganyika malizangu halali navua kwa leseni lakini aliteketeza mali zangu kwa kutafuta fedha tu baada ya kuziteketeza aliteka engine zangu nikazinunue kwake
Sasa huo nimfano uliotokea kwangu vipi nawengine wenyekazi zao halali alizivuruga maadui katengeneza yeyemwenyewe kifupi alikuwa mnyanganyi sana mola amnyooshe huko aliko
 
usisahau wenye ndugu zao kwenye viroba
 
Mimi sio kamanda, mmekariri kila ambaye hakumkubali huyo jamaa yenu basi ni wa CHADEMA, AKILI FINYU
Hata hao makamanda wenzako hawamkubali huyo jamaayetu kama wewe tha's why your log in directly to team Nyumbu.
 
Kazi halali? Kwani kila uvuvi ni halali?
 
Mimi hilo la kuhamishia makao Dodoma sikuona umuhimu wake kwa wakati huu wa maendeleo makubwa ya teknologia ya mawasiliano
 
Hata hao makamanda wenzako hawamkubali huyo jamaayetu kama wewe tha's why your log in directly to team Nyumbu.
Nyumbu ndio nyie mpo mitandaoni kila mara kusifu na kuabudu mfu... eti alichukiwa na watu wengi kama alikuwa muovu kwa nini asichukiwe?
 
Yani hata wewe ungekuwa na neema ungesamehe hayo unayoamini alikosea.

Ila kutokana na mioyo yenu kuwa migumu[emoji16][emoji16] joking mwana...

Magu yuko heaven anakunywa mvinyo wa mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…