Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.

Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.

Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.

Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi

Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.

Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.

Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Ziliundwa mahakama za wahujumu uchumi, wahujumu walikamatwa kwa mbwembwe na nguvu nyingi, hukumu yao ikawa negotiable,kosa ulilofanya utalipa sh ngapi?
Pesa iliyolipwa hatujui iliingia kwenye kapu la taifa au hapana

Mahakama zikawa hazina kazi
 
Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Watanzania wengi no wapumbavu sana, kupenda kucopy kila kitu.
Kwani hakuna mataifa yaliyoendelea bila kutumia njia za wachina?

Mbona mmekataa kuiga kuchanja chanjo ya Corona badala yake mkajifukiza mavumba mkayaweka mpk mahospitalini?
 
Mwendazake angeacha legacy nzuri endapo tu angeishia nafasi ya Waziri Mkuu na wala si vinginevyo. Nafasi ya urais ilikuwa kubwa sana kwake, ilimpwaya mno na wala hakuandaliwa kabisa kuishika.
Hivi ni kweli umefanikiwa kufumba macho hata kugoma kuona maendeleo aliyoleta mpendwa Rais wetu wa awamu ya tano? Miaka 5 kabla hakuna aliyekuwa na ndoto za kuhamishia makao makuu dodoma! Leo hata hilo hulioni? Kama ni rahisi mbona wengine hawakuweza kulifanya? Reli standard gauge je huoni? Mradi wa kufua umeme kwenye bwana la mwl Nyerere-Stiglers George huna habari nalo? Kama ni hivyo utakuwa kipofu wa kujitakia ili kufurahisha mabeberu! Urithi aliotuachia JPM haufutiki vizazi na vizazi!!
Leo Tanzania tuko salama sana ukilinganisha na mataifa mengine kwenye Janga la corona kwa sababu JPM alituongoza kumtanguliza Mungu mbele ya jitihada na ujuzi wa kibinadamu! Wewe ukigoma kuyaona hayo, kuna mamilioni ya watanzania wanayaona!
 
Mnateseka na kivuli chake...
Kwanza hakuwa that bad..
Pili alipata rehema ya upako wa mwisho kwa Cardinal ....

Meaning amekufa clean....

Lets worry about us kama tutarehemika kufa kifo kitakatifu kama JPM maana kinaweza kuja kama mwivi bila kuwa na toba na usafi wa mioyo...

Unaweza kufa ukiwa guest na mchepuko ama kuiba nk

Mwamba is in heaven...
Heaven ya kuzimu sawa !!
Unapora uchaguzi ukijua wananchi hawawezi kukufanya lolote. Unasahau Mungu hataki dharau kwa wananchi ?!.

Uzuri hata mama J ameshamkimbia huko chato yake
 
Adakadabra nyingi tu ,tusiwe biased, tusiongee positive tuu as if hakuna negatives, huo ubadhirifu aliobaini CAG unatoka wapi kama wahusika wote wapo magerezani?
Yaani watakatifu ndio wamegeuka kuwa wabadhirifu?
Tuongee kwa kiasi wandugu.
Ubadhirifu kama upo unashughulikiwa kwa mujibu wa sheria! Aliyefanya ubadhirifu hakutumwa na rais afanye hivyo!! Wabadhirifu wapo tu na JPM alijitahidi sana kuwashughulikia na wote ni mashahidi jinsi alivyokuwa anawatumbua!!
 
Wote wanaomnena vibaya JPM iwe kwa wazi au mioyoni mwao tu ni wale waliozoea kupiga na wenye vyeti fake na wasiofuata sheria!
 
Watanzania wengi no wapumbavu sana, kupenda kucopy kila kitu.
Kwani hakuna mataifa yaliyoendelea bila kutumia njia za wachina?

Mbona mmekataa kuiga kuchanja chanjo ya Corona badala yake mkajifukiza mavumba mkayaweka mpk mahospitalini?
Kachanje mwenyewe!! Unadanganywa viongozi wa mabeberu kuchanjwa mbele ya kamera kumbe wanachomwa normal saline halafu wewe ukiiga unakuwa unafanyiwa majaribio!
Haushangai watu wamechanjwa lakini hawaachi barakoa! Wanaogopa nini kama wana chanjo tayari?
 
Sijaona JPM awe na kiburi na madaraka...its abt your own opinion na illusions...

Rest in Heaven Mwamba...

Utaonaje kuwa alikuwa na kiburi cha madaraka wakati ulikuwa mfaidika wa udhalimu wake?
 
Kachanje mwenyewe!! Unadanganywa viongozi wa mabeberu kuchanjwa mbele ya kamera kumbe wanachomwa normal saline halafu wewe ukiiga unakuwa unafanyiwa majaribio!
Haushangai watu wamechanjwa lakini hawaachi barakoa! Wanaogopa nini kama wana chanjo tayari?
Sasa mbona mnautaka kutuendelezea utawala wa kidikteta Kama China, kututesa ili kuleta maendeo?
Kwani mabeberu ni mazungu tu, hao wachina?
 
Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.

Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.

Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.

Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi

Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.

Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.

Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Wewe ulifaidika nini na utawala wake wa miaka 5 + 4moon.
jewewe ni mfanya biashara ?
Kama Hujui yaliyowakuta watanzania waulize wafanya biashara wa kawaida, waliovunjiwa nyumba zao Kimara- kiluvya, Wawekezaji mbali mbali hata wale waliokuwa wasafi kwa kulipa kodi na ushuru..
Wewe hukumpata kumjua Magufuli, ulikuwa unahemukwa na hotuba zake za kisanii tuu.
Siasa ilikubeba hukuukifa taratibu .
 
Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Kujitegemea ni kuua wanaokukosoa?
 
Motion ya huyo hayati wenu haikua na uelekeo wa kutupeleka uchina,ngoma ilikuwa inaelekea ZIMBABWE acheni kufananisha uharo na futari.
NIPO WAZI KABISA SIKUMPENDA JAMAA YENU HAKUWA KIONGOZI RAFIKI WA WATANZANIA.
Magufuli alikuwa agent kamili wa shetani kwa Tanzania
 
Hawa watakataa unayoyasema.

1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fulani hivi,sasa bilionea.kumbe wanadai mwanafamilia.
 
Hivi ni kweli umefanikiwa kufumba macho hata kugoma kuona maendeleo aliyoleta mpendwa Rais wetu wa awamu ya tano? Miaka 5 kabla hakuna aliyekuwa na ndoto za kuhamishia makao makuu dodoma! Leo hata hilo hulioni? Kama ni rahisi mbona wengine hawakuweza kulifanya? Reli standard gauge je huoni? Mradi wa kufua umeme kwenye bwana la mwl Nyerere-Stiglers George huna habari nalo? Kama ni hivyo utakuwa kipofu wa kujitakia ili kufurahisha mabeberu! Urithi aliotuachia JPM haufutiki vizazi na vizazi!!
Leo Tanzania tuko salama sana ukilinganisha na mataifa mengine kwenye Janga la corona kwa sababu JPM alituongoza kumtanguliza Mungu mbele ya jitihada na ujuzi wa kibinadamu! Wewe ukigoma kuyaona hayo, kuna mamilioni ya watanzania wanayaona!
Mkuu ninaheshimu sana maoni yako, ambayo kwa upande wangu nayaona kama yamejikita katika upande mmoja tu wa sarafu. Hayo ni mambo ya kawaida sana ambayo kila Rais aliyemtangulia alikuwa na nafasi yake na hatimaye na hata yeye amekuwa na sehemu yake ijapokuwa na bado hayajakamilika.

Ila yeye akiwa tofauti kabisa na wengine ktk maamuzi yake mengi, pasipokuwa na hata ya udharura, ameongoza wengine ktk kuupuzia matakwa ya katiba, sheria, kanuni na miongozo mingi sana. Mtu wa aina hii hapaswi kupewa mamlaka ya juu kabisa kitaasisi, isipokuwa awepo mtu wa juu yake mwenye kuweza kuthibiti jazba na mihemuko yake.
 
Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.

Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.

Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.

Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi

Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.

Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.

Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Keisha habari yake tulimwonya hamkusikia wacha apambane na adhabu ya kabri kwa uovu aliotufanyia
 
Mnateseka na kivuli chake...
Kwanza hakuwa that bad..
Pili alipata rehema ya upako wa mwisho kwa Cardinal ....

Meaning amekufa clean....

Lets worry about us kama tutarehemika kufa kifo kitakatifu kama JPM maana kinaweza kuja kama mwivi bila kuwa na toba na usafi wa mioyo...

Unaweza kufa ukiwa guest na mchepuko ama kuiba nk

Mwamba is in heaven...
Bible ninayoisoma inaniambia "OLE WAKE AMTGEMEAE MWANADAMU MWENZIYE" So wimbo wa upako wa cardinal P. haina maana. Kwamba hakuwa mbaya kiivyo ?! Mwema utawaporaJe wenzio uchaguzi . Huo ni uwizi kama uwizi mwingine. UtamminiaJe mwenzio magazine nzima ?!. Huo ni zaidi ya ujambazi . R I H
 
Back
Top Bottom