Uweri the second
Member
- Mar 11, 2021
- 35
- 31
Dhalimu kwako wewe mvivu na mpenda kuishiPropaganda haziwezi kumpaiza mtu yoyote. Subirini wajinga ndio muwalishe hizo propaganda. Yule alikuwa dhalimu sio zaidi ya hapo.
maisha yasiyoeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhalimu kwako wewe mvivu na mpenda kuishiPropaganda haziwezi kumpaiza mtu yoyote. Subirini wajinga ndio muwalishe hizo propaganda. Yule alikuwa dhalimu sio zaidi ya hapo.
Kweli kabisa ni muhimu watu wasome history na waielewe. Kwa mfano sijawahi kuelewa kwanini hawasemi bila Hilter kuanzisha WW II basi Africa na Asia tungechelewa kutoka kwenye makucha ya ukoloni wakati its a fact ile vita iliwadhoofisha wakoloni kiuchumi na manpower kuendelea kuendelea kututawala.Boss kasome historia ya hizo inchi vzuri kabla hujazitolea mifano then urudi kuja kujenga hoja ukiwa na all the factors sio kukirupuka km ulivyofanya hapa...usiione Marekani ya Leo, imepitia misukosuko Mingi ikiwemo biashara ya Utumwa na Civil wars za kutosha...
Ujerumani na Adolf Hitler,
Ufaransa na Utawala wa kifalme e.g Louis XVI( kasome a great french revolution),
Spain na Utawala wa Dikteta Fransisco Franko,
Italy na dictator Musolini.
Hata Uingereza iliongozwa kifalme kwa Miaka mingi sana.
Kifupi Marekani na Ulaya ya Leo zimejengwa kwa misingi ya jasho na damu, wamepitia stages ambazo sisi hatujawahi kuzipita kufika hapo walipo.
Hilter pamoja na mabaya yake yote ila ndio aliewatenezea wajerumani culture ya kufanya kazi kwa bidii...Jamaa walichapika world war II ila now wanaongoza europe kwa kua na uchumi mkubwa.
Middle East yote inaongozwa ki dictator na familia za kifalme.
Ingalie Libya ya Ghadafi na a shit hole Libya ya Leo...Iraq ya Sadam na Iraq ya Leo.
Rwanda hio hapo pembeni yetu inapaa chini ya Kagame.
Sometime dictatorship is a necessary Evil.
Kifupi kuna stages lazima tuiipitie just to lay down the great foundation for the future generations ht km itatugharimu uhuru na damu.
Marekani na Ulaya hazitaki tupitie huko coz wanajua its a necessary step to achieve maendeleo ya kweli, wanataka tupoteze muda na demokrasia uchwara ili watuibie kweli kweli...[emoji3][emoji3]
Wazungu wana msemo " A pack of sheep led by a Lion will always win a fight against a pack of Lions led by a sheep".
Na sisi watanzania we heve lost a Lion, weather we a pack of sheep witout a Lion or or the otherway around that's for you to figure out.
Ni adhabu kali hasa kwa mtu mwovu.
Acha kupenda,wanaume tena wafu
Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
Upo sahihi kabisa.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Waliondaliwa ni wale waliokumbatia ufisadi, rasimali za nchi zikaishia mikononi mwa wa watu. kweli Tanzania tuna safari ndefu sana. Nahisi tuna laana. Natamani tufe wote kije kizazi kingine kianze upya kulijenga hili taifa.Mwendazake angeacha legacy nzuri endapo tu angeishia nafasi ya Waziri Mkuu na wala si vinginevyo. Nafasi ya urais ilikuwa kubwa sana kwake, ilimpwaya mno na wala hakuandaliwa kabisa kuishika.
Huyu CAG kwa taarifa yako ametumika tu kuja kuchafua hali ya hewa.Adakadabra nyingi tu ,tusiwe biased, tusiongee positive tuu as if hakuna negatives, huo ubadhirifu aliobaini CAG unatoka wapi kama wahusika wote wapo magerezani?
Yaani watakatifu ndio wamegeuka kuwa wabadhirifu?
Tuongee kwa kiasi wandugu.
Na kwakweli nimesomea degree ya chupi ya madheri wako.Wewe uliepitia chuo kikuu na degree yako ya chupi ndio unajifanya kujua sana? Mamluki wakipachikwa huko ndio wanasaidia nini?
Sawa ila point yangu ni kwamba huyu Lucifer alituaminisha kuwa ni mtetezi wa wanyonge kumbe ni mnyongaji wa wanyonge.Pointless.
Magu kuna mahali aligusa hapagusiki aliumiza pia watu wengi damu zikamlilia.Ukizingatia wewe utadumu miaka 102 hadi uwe unatupa shida ya kujichafua...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na sijui waliokufa wachanga waliadhibiwa kwann?
Magu in heaven⚘⚘
It was his own making. After all, he centralized corruption into his office.Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Tunamshukuru Mungu mkuu kwa yote yaliyotokea nchi hii ilishapinduka eti.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Inatakiwa afufuke halaf afe tena yule nyapara wa barabara.Pepo mchafu!Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Tatizo unadhani una akili nyingi kumbe ni za kawaida mno. Unashabikia uuaji wa marehemu Magufuli????!tunawezakuwa tunajadiri na kijana ambaye 2015 kushuka chini alikuwa hajazaliwa au hakuwa na ufahamu wa jambo lolote.
leo hii hayo uliyoorodhesha bado yapo,lakini sababu hutumii akili vizuri pia bado huwezi jua.
Heaven ya kuzimu sawa !!Ukizingatia wewe utadumu miaka 102 hadi uwe unatupa shida ya kujichafua...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na sijui waliokufa wachanga waliadhibiwa kwann?
Magu in heaven⚘⚘
Bora kuongozwa na huyo Mama , lakini siyo huyo bingwa wa WASIOJULIKANA .Jamaa angekuwa Poa sana.. alikuwa na Vision.. na Pia Samia can never make a legacy kama ya JPM.. samia atabaki kuhang in the Middle.. Meko alifanikiwa kuwa na Kundi lililomuamini sana.. kutokana na aina ya Vision yake na siasa zake.. samia hawezi icho kitu..
Chief pole sanaUnasema huvyo kwa sababu hukuwahi kuguswa wakati wa utawala wa yule shetani. Mimi ni mhanga niligombea nafasi Fulani ndani ya chama Fulani tena ni chama cha wafanyakazi tu. Kilichotokea ni maajabu. Kwa kuwa walihisi nipo upande wa pili, nilitekwa nikalazimishwa kujiunga na upande wa kijani. Niliyoyaona huko sithubutu hata kumuomba dua yule kayafa. Mungu amlaze mahali panapostahili.