Hatuwezi kurudi kule kwenye enzi za ujima eti kisa ndivyo wachina walivyoendelea.
Toa na mifano ya mataifa mengine makubwa basi, au huyaoni? USA, Ujerumani, Ufaransa, UK, Hispania nk.
Ukatili, uonevu ,kuua wenzako kwa kisingizio cha maendeleo haikubaliki.
Isitoshe alikuwa mpigaji kama wapigaji wengine.
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app
Boss kasome historia ya hizo inchi vzuri kabla hujazitolea mifano then urudi kuja kujenga hoja ukiwa na all the factors sio kukirupuka km ulivyofanya hapa...usiione Marekani ya Leo, imepitia misukosuko Mingi ikiwemo biashara ya Utumwa na Civil wars za kutosha...
Ujerumani na Adolf Hitler,
Ufaransa na Utawala wa kifalme e.g Louis XVI( kasome a great french revolution),
Spain na Utawala wa Dikteta Fransisco Franko,
Italy na dictator Musolini.
Hata Uingereza iliongozwa kifalme kwa Miaka mingi sana.
Kifupi Marekani na Ulaya ya Leo zimejengwa kwa misingi ya jasho na damu, wamepitia stages ambazo sisi hatujawahi kuzipita kufika hapo walipo.
Hilter pamoja na mabaya yake yote ila ndio aliewatenezea wajerumani culture ya kufanya kazi kwa bidii...Jamaa walichapika world war II ila now wanaongoza europe kwa kua na uchumi mkubwa.
Middle East yote inaongozwa ki dictator na familia za kifalme.
Ingalie Libya ya Ghadafi na a shit hole Libya ya Leo...Iraq ya Sadam na Iraq ya Leo.
Rwanda hio hapo pembeni yetu inapaa chini ya Kagame.
Sometime dictatorship is a necessary Evil.
Kifupi kuna stages lazima tuiipitie just to lay down the great foundation for the future generations ht km itatugharimu uhuru na damu.
Marekani na Ulaya hazitaki tupitie huko coz wanajua its a necessary step to achieve maendeleo ya kweli, wanataka tupoteze muda na demokrasia uchwara ili watuibie kweli kweli...[emoji3][emoji3]
Wazungu wana msemo " A pack of sheep led by a Lion will always win a fight against a pack of Lions led by a sheep".
Na sisi watanzania we heve lost a Lion, weather we a pack of sheep witout a Lion or or the otherway around that's for you to figure out.