Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Ukizingatia wewe utadumu miaka 102 hadi uwe unatupa shida ya kujichafua...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na sijui waliokufa wachanga waliadhibiwa kwann?

Magu in heaven⚘⚘
Na mungu akampenda sana akamtwaa akiwa Kijana bado,mshahara Wa dhambi ni mauti.
 
Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
Jamaa angekuwa Poa sana.. alikuwa na Vision.. na Pia Samia can never make a legacy kama ya JPM.. samia atabaki kuhang in the Middle.. Meko alifanikiwa kuwa na Kundi lililomuamini sana.. kutokana na aina ya Vision yake na siasa zake.. samia hawezi icho kitu..
 
Jamaa angekuwa Poa sana.. alikuwa na Vision.. na Pia Samia can never make a legacy kama ya JPM.. samia atabaki kuhang in the Middle.. Meko alifanikiwa kuwa na Kundi lililomuamini sana.. kutokana na aina ya Vision yake na siasa zake.. samia hawezi icho kitu..
Visio alikuwa nayo nzuri. Baadae ikaja kuchanganywa na mambo ya hovyo. Akataka kuua demokrasia, akaua uhuru. Akataka kuongoza milele.

Hata mimi nilikuwa namwamini mwanzoni lakini kadiri siku zilivyosonga akawa anaelekea kombo.
 
sijui una umri gani kiongozi,ila wewe ni kati ya watu wazima wajinga sana.

nyinyi wazembe wachache ndio matokeo ya tz hii ilipo zaidi ya miaka 50 ya uhuru.
nchi yetu iliharibika sana hakuna sheria AKA banana republic. Jamaa yenu alikuwa mwizi wa kutupwa, mkabila, nepotism.the guy was completely useless .thanks god for Divine intervation he is gone for good ,enzo za kulamba makalio zimeisha.jipange upya
 
This post has changed my life
Changed my families life and neighbors life too.
 
Swala la Kuongoza Milele tusimhukumu kwa sababu hatukuona mwishowe.. ila kwa kinachoendelea state House Chamwino hilo lingewezekana.
Tutaachaje kumhukum wakati nia na njia zilikuwa zinaonesha? Kuna viashiria mbali mbali vya mwenendo wa siasa zakw zilionesha hilo. Na hakuwahi kulikana licha ya kuwa linapigiwa chapuo na Bunge lenye mamlaka ya kulinda na kuheshimy katiba. Alivimba bichwa.
 
. ..Kuwachukia makabila ya kaskazini.
. ...Kukusanya kodi haramu kaskazini nakupeleka maendeleo chato wakati hakuna kodi inayokusanywa huko.
. ...Kuamuru critics wauawe.
. ....Kuwachukia wenye pesa hata Kama wamepata kihalali.
. ...Kuamini kwamba ninadamu wote wanatakiwa kuwa sawa kiuchumi wakati wamumbwa kwa uwezo tofauti wa kufikiri, bidii ya kazi, vipaumbele katika matumizi ya pesa wanazopata wakati wapo wanaospend vipato vyao na wengine wana invest nakuweka akiba ya baadaye.
. ...Kutokuwaamini watumishi wote wa serikali kwa Ku weka TISS kila sehemu ya kazi hata kama hawana uelewa wa kazi zinazofanyika sehemu husika.
. ...Kuvunja kifungu cha katiba kinachompa kila RAIA uhuru wa kwenda kokote anakotaka lli mradi havunji sheria. Hakuna kusafiri nje ya nchi bila kibali chake.
. ....Na mengine meeengi orodha ni ndefu.
Imetosha kaka
 
Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Huijui China, na wala hujui ni nini kilichoibadilisha China.

Unachotakiwa kujua ni kuwa China baada ya kukaa kwenye umaskini kwa karne nyingi, na uchumi wao wa kujifungia, walinyosha mikono. Waliwakaribisha wawekezaji wakubwa toka America na Ulaya, ndio walioubadilisha uchumi wa China kwa haraka.

Mpaka leo China ndiyo inaongoza kwa kuvutia mitaji mikubwa ya uwekezaji toka nje ya nchi. Mwakajuzi pekee uwekezaji wa Ulaya na America nchini China ulikuwa zaidi ya dola bilioni 80.

Karibia makampuni makubwa yote nchini China, siyo ya China, ni ya wazungu.
 
Well said kijana, naionea huruma Tz yangu tulikuwa tumeanza kupaa Sasa tumerudi tena ground
Marehemu alichofanikiwa ni propaganda za hadaa kwa wajinga. Na aliwaokota wengi.

Utawala wa awamu ya 5, kwa vigezo vyote vya maendeleo, alifeli kabisa.

Ukuaji wa uwekezaji aliuangusha toka 28% mpaka 4%, wajinga hawajui.

Ukuaji wa mapato ya utalii, aliyaangusha kutoka 15% mpaka 3.6%, wajinga hawajui.

Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo aliyaangusha kwa 50%, wajinga hawajui.

Kwenye uzalishaji dhahabu, aliiangusha Tanzania toka kuwa mzalishaji wa 3/4 (kuna wakati tulikuwa tunakuwa wa 3, na wakati
mwingine wa 4) barani Afrika mpaka kuwa mzalishaji wa 6.

Aliyaharibu mazingira ya uwekezaji katika sekta ya madini, toka nchi ya 74 bora mpaka kuwa nchi ya mwisho.
 
Kabla huyu mwamba wenu hajaingia madarakani nilikuwa nikienda kumsalimia bibi kule nyanungu kwa kupita mbugani basi ilikuwa nalipa 30000 mpaka Tarime.
Alipoingia tu mwamba garama ikapanda ikafika 50000 eti wanaopita huko wote walipishwe kama watalii Wa ndani.
,utadhani anawakatia majani hao wanyama.kwa hili Mimi nkageuka kuwa adui wake.
Pointless.
 
Unawalinganisha wachina kwa mfano usiolingana na walchofanya wenyewe.

Hapa ilikuwa ni mabavu ya mtu mmoja, aliyeteka kila kitu kifanywe anavyotaka yeye hata kama ni makosa.

Kule ni chama kilichoshika hatamu na kuongoza walikotaka kwenda.
Historia ya China unaijua? Mao Zhedong unajua alifanya nini China?
 
Historia ya China unaijua? Mao Zhedong unajua alifanya nini China?
Hivi wewe hata siku moja hukui ukabadilika kidogo?

Sasa unaniuliza swali la kipuuzi namna hiyo, unataka nikwambie kitu gani. Unataka unifundishe nikikwambia kuwa sijui?

Kama naijua historia hiyo, unataka niiandike yote humu JF?

Una mambo ya kitoto sana wewe.

Mabandiko yako yote ni ya kipuuzi puuzi tu!

Tumia ukumbi huu ukusaidie kupanua mawazo na ujadiliane na wengine kwa utulivu.
 
Back
Top Bottom