Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Mengine aliyataka mwenyewe bila kuwa na umuhimu wowote
Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
 
Unawalinganisha wachina kwa mfano usiolingana na walchofanya wenyewe.

Hapa ilikuwa ni mabavu ya mtu mmoja, aliyeteka kila kitu kifanywe anavyotaka yeye hata kama ni makosa.

Kule ni chama kilichoshika hatamu na kuongoza walikotaka kwenda.
 
Ndio maana nikamuuliza analinganisha china na utopolo wa ccm? Ni nchi yenye taaisis na serikali inayojielewa. Wanataka kusawazisha maovu ya mwendazake kwa kujipa matumaini kwamba alitaka kuwa kama china🤣🤣
 
Hawa watakataa unayoyasema.

1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Mtu kama huyu Mungu alimpa nafasi atubu akajifanya Mkaidi. Hakupaswa hata kumaliza miaka mitano ya mwanzo kwa mujibu wa Mungu mwenye haki.
 
Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
Magufuli angeacha Tanzania ya kipekee sana kama asingefanya mambo ya ajabu ajabu ambayo hayakuwa na maana yoyote katika uongozi wake.
Haya mambo aliyokomalia na kumharibia yalikuwa hayamzuii kufanya mambo mazuri aliyotaka kuifanyia nchi.

Hivi vyama vya upinzani kama CHADEMA wasingekuwa na mahali popote pa kumsumbua kama angewaacha tu wapige mayowe, huku wananchi wakiona kazi nzuri aliyokuwa akiifanya.

Lakini ni tabia za mtu. Magufuli alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya, hata bila kuwa rais. Asingeweza kubadilika.
 
Mungu ameamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, baada ya miaka mitano nchi yetu kuwa mikononi mwa shetani. Hakuwa na lolote jipya zaidi ya kiburi cha madaraka fullstop.
Eti shetani, dah, nilikuwa nahisi uko na brain walau kidogo.
 
Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Mhu! Tutafika tu maana kama Mungu yuko pamoja nasi na ndiye anayetupa viongozi, then haiwezekani kwamba alichagua Tanzania tuwe na kiongozi mmoja milele na milele yote. Labda kama sijakuelewa.
 
Pamoja na maadui hao lakini alipendwa na watanzania na alifanya kazi kubwa sana kupeleka nchi hadi uchumi wa kati.alikuwa kiongozi wa pekee aliyependwa sana na kuacha alama katika nyoyo za watanzania

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
..Vyama vya siasa hupenda kupenyeza watu wao ktk vyama vya wafanyakazi, wanafunzi, etc etc.

..Sio jambo la ajabu chama cha kijani, au kile kingine, kuwa na interest na uchaguzi wa viongozi wa chama cha wafanyakazi.
Labda ni mtoto sana kuelewa hili!
 
Hivi wakulima walifaidika ninini katika ile serikali ya awamu ile, sera ya kilimo ilikuwa ninini? Tunaipima vipi mafanikio ya sera ya kilimo katika awamu ya tano na awamu zingine?

Nauliza kuhusu kilimo tu sababu huko ndiko wanaoitwa wanyonge walipo.
 
tunawezakuwa tunajadiri na kijana ambaye 2015 kushuka chini alikuwa hajazaliwa au hakuwa na ufahamu wa jambo lolote.

leo hii hayo uliyoorodhesha bado yapo,lakini sababu hutumii akili vizuri pia bado huwezi jua.
Bado yapo yameletwa na mwendazake. Hii dhambi itakitafuna kizazi chake chote.
 
Focus na maisha wazee
siku ni chache vitu ni vingi
asa itategemea utatumia njia ipi
 
Magufuli angeacha Tanzania ya kipekee sana kama asingefanya mambo ya ajabu ajabu ambayo hayakuwa na maana yoyote katika uongozi wake.
Haya mambo aliyokomalia na kumharibia yalikuwa hayamzuii kufanya mambo mazuri aliyotaka kuifanyia nchi.

Hivi vyama vya upinzani kama CHADEMA wasingekuwa na mahali popote pa kumsumbua kama angewaacha tu wapige mayowe, huku wananchi wakiona kazi nzuri aliyokuwa akiifanya.

Lakini ni tabia za mtu. Magufuli alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya, hata bila kuwa rais. Asingeweza kubadilika.
Nadhani he was incompetent to the post. Ndio maana akakosa confidence
 
Subiri tuone wasiokuwa wadhalimu wataifanyia Tanzania, wewe ni mbinafsi usiokuwa na future ya baadae hayati alikuwa anaandaa mazingira mazuri kwaajili ya watoto wetu na vizazi vitakavyokuja kumbuka ata china ilipitia magumu mangapi.

Eti China, acha kufananisha China na ule udictator uchwara. China imejaa makampuni ya wazungu, hapa bado yule peasant alikuwa anawaita wazungu mabeberu. Amuandalie nani maisha, sisi hatukuwa watoto wake bali raia wenzake, angewaandalia hayo maisha watoto wake sio sisi.
 
Back
Top Bottom