Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Mungu ameamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, baada ya miaka mitano nchi yetu kuwa mikononi mwa shetani. Hakuwa na lolote jipya zaidi ya kiburi cha madaraka fullstop.
Sasa hivi mambo ni super! Ccm mbele kwa mbele
 
T

Diplomasia gani ya kiuchumi, unaongelea makinikia ama bandari ya bagamoyo.

Tatizo lako wewe nikama teja mlaunga DJ ukishakuita kamanda unajiona tayari unaakili kuiliko watuwote.
Vipi tena?
 
Ccm mbele kwa mbele, au vyombo vya dola ndio mbele kwa mbele?
Si umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?

Sasa kwanini ccm isiwe mbele kwa mbele wakati tayari mabadariko yamefanyika na shetani katoweka?
 
U
Hawa watakataa unayoyasema.

1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Umesahau stahiki za wafanya kazi
 
Motion ya huyo hayati wenu haikua na uelekeo wa kutupeleka uchina,ngoma ilikuwa inaelekea ZIMBABWE acheni kufananisha uharo na futari.
NIPO WAZI KABISA SIKUMPENDA JAMAA YENU HAKUWA KIONGOZI RAFIKI WA WATANZANIA.
Unaweza sema bora hata Zimbabwe ilikuwa ni hasara tupu kwa taifa letu
 
Si umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?

Sasa kwanini ccm isiwe mbele kwa mbele wakati tayari mabadariko yamefanyika na shetani katoweka?
mabadiriko = mabadiliko
 
Siwezi bishana kipumbavu kama unavyodhania,in fact uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo kuliko unavyodhani,unalobishania hulijui,unachojibu hujui pia.

Mwaka jana World Bank ili classify world's economies katika categories zifuatazo;

1:High Income Economies - Eg USA,CANADA, GERMANY..

2: Upper Middle Income Countries - Argentina, Georgia, Malaysia,China, Brazil, Turkey ...

3: LOWER Middle Income Economies - Comoro, Zimbabwe, Senegal,Tanzania, Djibouti Eswatini etc[emoji1][emoji1][emoji1]

4:Low income Economies - Burundi,Niger, Yemen, Somalia etc

Huo ndio uchumi wa kati sio?kula viazi tu na uji huko uliko[emoji1787]
Kwakuwa sijui definition ya 'Middle' basi wacha niendelee kuongeza na mihogo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Si umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?

Sasa kwanini ccm isiwe mbele kwa mbele wakati tayari mabadariko yamefanyika na shetani katoweka?

Shetani ni kweli kaondoka ila kaacha mawakala wake huko bungeni na kwenye mifumo mbalimbali. Itachukua muda kidogo kumaliza madhara yote yaliyoletwa na yule ibilisi.
 
Shetani ni kweli kaondoka ila kaacha mawakala wake huko bungeni na kwenye mifumo mbalimbali. Itachukua muda kidogo kumaliza madhara yote yaliyoletwa na yule ibilisi.
Aisee.. Basi endelea kuimba mkuu, ccm mbele kwa mbele wakati tukisubiri Mungu awaondoe hao mawakala wa huyo ibilisi na huku tukisema Samia 10 tena
 
Aisee.. Basi endelea kuimba mkuu, ccm mbele kwa mbele wakati tukisubiri Mungu awaondoe hao mawakala wa huyo ibilisi na huku tukisema Samia 10 tena

Msiseme Samia 10 tu, semeni 100 kabisa. Tunachojua shetani Mkuu yuko motoni saa hii. Mengine yote ni mchakato na lazima mlambe mchanga tu.
 
Msiseme Samia 10 tu, semeni 100 kabisa. Tunachojua shetani Mkuu yuko motoni saa hii. Mengine yote ni mchakato na lazima mlambe mchanga tu.
Kabisa mkuu!

Shetani yuko motoni..

Na mambo sasa ni super..

Ccm sasa mbele kwa mbele..

Na Samia 100 tena
 
Back
Top Bottom