Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

Nilijua ni mimi tu lkn mimi sijapwi
 
Wakuuu na ukiota unafanya mtihan wengine wanamaliza wewe ndio una hangaika tu ina maanisha nini
Asili ya kwenu yani kiufupi kuna lafu unachezewa kupitia asili ya kwenu mizimu yani mtu wa nyumbani ndo analoga urudi nyuma ila hiyo ni step ya kwanza usichelewe sana kutafuta msaada maombi yake ni kujitenga na misingi ya kwenu damu ya Yesu ikushindie
 
Amina ndugu wewe unasali wap mkuu nije tjumuike wote ibada moja
 
Mambo ya Kiroho hayana cha intellectual mzee...

We soma elewa tu, mengine omba yasikukute
 
Amina ndugu wewe unasali wap mkuu nije tjumuike wote ibada moja
Nilipitia hiyo hali nikapuuza after two year nilipoteza kila kitu nilikua naota sana ndoto za shule mitihani na feli naangaika full mateso kumbe Mungu ananionyesha kuna mtu ananishughuliki ila nilimezwa na dunia mm nasalia kkkt lutherani kimara korogwe ndo nilipopata msaada jinsi kujitoa kwwnye shida
 
Amina mkuu ngoja niwe mwana maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…