Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua ni mimi tu lkn mimi sijapwiKiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?
Men mkuuUko wapi njooo kkkt kimara my dear hiyo ni mizimu na miungu Inasala zake za kujitenga kuna mtu anawatolea sadaka uko kifupi mnalogwa kwa njia ya mizimu kutoka ni kaxi ila kwake Yesu kila goti linapigwa so itakuachia tu
Unakumbushwa kuongeza bidii na umakini kwenye yote unayofanyaWakuuu na ukiota unafanya mtihan wengine wanamaliza wewe ndio una hangaika tu ina maanisha nini
Asili ya kwenu yani kiufupi kuna lafu unachezewa kupitia asili ya kwenu mizimu yani mtu wa nyumbani ndo analoga urudi nyuma ila hiyo ni step ya kwanza usichelewe sana kutafuta msaada maombi yake ni kujitenga na misingi ya kwenu damu ya Yesu ikushindieWakuuu na ukiota unafanya mtihan wengine wanamaliza wewe ndio una hangaika tu ina maanisha nini
Kweli mkuu maana hii ndoto si mara mbili au mara mojaUnakumbushwa kuongeza bidii na umakini kwenye yote unayofanya
Sali sanaKweli mkuu maana hii ndoto si mara mbili au mara moja
Amina ndugu wewe unasali wap mkuu nije tjumuike wote ibada mojaAsili ya kwenu yani kiufupi kuna lafu unachezewa kupitia asili ya kwenu mizimu yani mtu wa nyumbani ndo analoga urudi nyuma ila hiyo ni step ya kwanza usichelewe sana kutafuta msaada maombi yake ni kujitenga na misingi ya kwenu damu ya Yesu ikushindie
HAdi na ukubwa huo hujui maana na jinsi ya kutoa sadaka hadi mchungaji akudanganyeHapo kwenye sadaka unamaanisha kidogo alicho nacho akampe mchungaji ajitafunie na familia yake?
Oyaa soo poaTena unakuta pepa limekaribia halafu kichwani hujaweka kitu.
Mambo ya Kiroho hayana cha intellectual mzee...Sisi waafrika bado hatujaqualify kuwa binadamu.
Hatujawa na uelewa au ufahamu wa kufikiri kama binadamu anavyotakiwa kuwa, bado tuna akili zinazofanya kazi kama wanyama, mjusi, ng'ombe au nyani.
Bado tunaamini kuna mapepo, maruhani, miujiza, ulimwengu wa roho, mapopo bawa na mizimu. Wote huo ni ukosefu wa elimu, uelewa, na matokeo ya kuwa na fikra duni kama za wanyama.
Ukweli ni kwamba, ndoto ni matokeo ya ubongo.
Ubongo unafanyia kazi vitu ambavyo umewahi kuviona, kuvifanyia kazi ama kuviwaza, na ndio maana ni vigumu sana mtu kuota anafanya mapenzi na mama yake mzazi kwa sababu hajawahi kuwaza hivyo.
Sababu inayomfanya mtu aote mara kwa mara yuko shuleni ni kwa sababu ndipo sehemu pekee aliyotumia muda mrefu kuliko sehemu yeyote ya maisha yake.
Kila ukilala, ubongo ukitaka kurecall, unakutana na sehemu hiyo iko restored mara nyingi.
Lakini kwa sababu kuna watu wasio wema, wezi na matapeli, wanatumia uelewa wetu finyu, kutudanganya na kututapeli, watakuambia kuna watu wamekuroga, au wanakuzibia nyota usifanikiwe.
Post hii aione Intellectual Kiranga dada mrembo Joanah na mganga wa kienyeji Mshana Jr
Nilipitia hiyo hali nikapuuza after two year nilipoteza kila kitu nilikua naota sana ndoto za shule mitihani na feli naangaika full mateso kumbe Mungu ananionyesha kuna mtu ananishughuliki ila nilimezwa na dunia mm nasalia kkkt lutherani kimara korogwe ndo nilipopata msaada jinsi kujitoa kwwnye shidaAmina ndugu wewe unasali wap mkuu nije tjumuike wote ibada moja
Amina mkuu ngoja niwe mwana maombiNilipitia hiyo hali nikapuuza after two year nilipoteza kila kitu nilikua naota sana ndoto za shule mitihani na feli naangaika full mateso kumbe Mungu ananionyesha kuna mtu ananishughuliki ila nilimezwa na dunia mm nasalia kkkt lutherani kimara korogwe ndo nilipopata msaada jinsi kujitoa kwwnye shida
Njoo kanisani kaka angu …. Mimi ni mdada ukihitaji muongozo na ufafanuzi nicheck inbox km upo dar wewe njoo kkkt lutherani kimara korogweAmina mkuu ngoja niwe mwana maombi