moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Bahati nzuri uwezo wa binadamu ni punje ya mchanga mbele ya Mwenyezi Mungu.Tena tukiwafungulia Mashekhe wa Uamsho tunawapa na Majambia ili mumalizane nao
Hasira zao zote wazimalizie kwa Masheha wa CCM
Huu msiba baba [emoji21]Kifungu kinasema chama au mgombea, hivyo hiyo ni loophole ya kupigwa knockout namuunga mkono Membe afunge goli lake mapema tu.
Kwa hiyo fomu za kura za Rais na wabunge zitatengenezwa upya?Wameshajivua uanachama tayari kinachosubiriwa ni wao kuvuliwa ugombea .Sababu sio wanachama wa chama chao
Ndio, DEMOKRASIA ina gharama zakeKwa hiyo fomu za kura za raisi na wabunge zitatengenezwa upya?
SawaMsajili wa vyama na NEC na
ndio .DEMOKRASIA ina gharama zake
Mkuu rejea tena kipengele namba nne kwenye kiambatanisho kilicholetwa na mleta mada. Imeelezwa hata kuunga mkono mgombea wa chama kingine wakati ACT nao wameweka mgombea ni kufutwa chamani!!! Aisee Zitto kamzamisha Seif hivi hivi!!!Lakini Zitto na Seif wamesema wanamuunga mkono Lissu na si Chadema! Hiko kipengele kimetaja chama ..
Mzee;Huu msiba baba [emoji21]
Ndilo jibu lenyewe.Umeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa.
Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498