King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Jasusi ameshistukiwa, kashakula Mpunga kutoka kwa JIWE, mwambie mtu wako hata akifanya kampeni hawezi kupunguza kura za Lissu, yeye kwa sasa ni ligi ndogo, Maalim kashasema uchaguzi ukifanyika atazidiwa kura na "MZEE WA UBWABWA".wao wamekuwa wakitoa matamko midomoni mwao wakati katiba inatamka mtu akitoa hayo matamko kajivua uanachama wameshajivua uanachama kinachosubiri ni wao kuvuliwa ugombea tu haraka sababu sio wanachama
CCM na tume yake hupenda Uchaguzi uwe na sintofahamu kama kipindi kila Matokeo ya Tunduru kuletwa Tunduma
DU wapinzani watu wa ajabu sana wenyewe wanajisikia raha sana wakivunja katiba zao kwa maslai yao binafsi alafu bila aibu utasikia tunataka katiba mpya, upinzani tanzania utakaa sana. Mara utasikia Rais hafuati katiba mara Rais anavunja katiba. Ongera mleta mada kwa kudadavua na kutuchimbia gimbi tutalipika na kulila.
Wanatunga Katiba halafu wanasahau baadhi ya vifungu, sasa wanajichanganya. Kifungu hicho kinaweza kuwasambaratisha ACT.
Mpaka ww Mtumwa na familia yako nzima katiba gani hii inayofanya Rais kuwa MUNGU MTU??Ni watumwa wewe na ukoo wako ila siyo watanzania.
Kutoa MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) huko Hedaru kipindi cha kampeni INARUHUSIWA?Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Wamejivua uanachama ACT msajili pia mbali na kuwavua ugombea urais na ubunge anatakiwa awatake waitishe uchaguzi wachague kiongozi mkuu wa chama mpya mwenyekiti wa chama taifa mpya na wajumbe wa kamati kuu ya uongozi mpyaWanatunga Katiba halafu wanasahau baadhi ya vifungu, sasa wanajichanganya. Kifungu hicho kinaweza kuwasambaratisha ACT.
Dk Magufuli bado ni Rais wa nchi anaendelea na kazi za urais kama kawaida. Anaendelea kuteua viongozi, kutumbua, kusimamia miradi, kutoa maelekezo kwa watendaji, kuidhinisha matumizi ya pesa za serikali nkKutoa MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) huko Hedaru kipindi cha kampeni INARUHUSIWA?
Dr. Mahera naomba UFAFANUZI.
Walioshiriki kuamua wote uanachama wamejivua na sio wanachama wote kuna kagenge ka watu wachache kanaitwa kamati ya uongozi ya ACT wazalendo msikilize Maalim Seif alichoongea.Walivunja katiba hao wamejivua uanachamaUmeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa.
Kasome katiba yao kama ina kipengele hicho nao wamejivua uanachamaVip TLP?
Kutoa MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) huko Hedaru kipindi cha kampeni INARUHUSIWA?
Dr. Mahera naomba UFAFANUZI.
Not ''We are slave'', writePeople of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
Upinzani ndio huzua sintofahamu hili la kujivua uanachama hili mnalo.Maalim Seif na Zito Kabwe sio wanachama wa ACT wazalendo tena wamejivua wenyewe uanachama ni Msajili na NEC na ZEC kuwavua tuCCM na tume yake hupenda Uchaguzi uwe na sintofahamu kama kipindi kila Matokeo ya Tunduru kuletwa Tunduma
Not ''We are slave'', write
'' I'm slave''.
NipoDogo upo?
Wameingia mtegoniWanatunga Katiba halafu wanasahau baadhi ya vifungu, sasa wanajichanganya. Kifungu hicho kinaweza kuwasambaratisha ACT.
Ateke nani? Zitto Kabwe na Maalim Seif wamejivua uanachama hivyo nafasi za kiongozi mkuu wa ACT wazalendo na Mwenyekiti wa ACT wazalendo taifa ziko wazi pamoja na zile za kamati ya uongozi zinatakiwa pia kujazwa na wanachama wa ACT wazalendo ambao bado ni wanachamaMnataka kukiteka chama ?
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.