Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

wao wamekuwa wakitoa matamko midomoni mwao wakati katiba inatamka mtu akitoa hayo matamko kajivua uanachama wameshajivua uanachama kinachosubiri ni wao kuvuliwa ugombea tu haraka sababu sio wanachama
Jasusi ameshistukiwa, kashakula Mpunga kutoka kwa JIWE, mwambie mtu wako hata akifanya kampeni hawezi kupunguza kura za Lissu, yeye kwa sasa ni ligi ndogo, Maalim kashasema uchaguzi ukifanyika atazidiwa kura na "MZEE WA UBWABWA".
 
Asante mkuu
DU wapinzani watu wa ajabu sana wenyewe wanajisikia raha sana wakivunja katiba zao kwa maslai yao binafsi alafu bila aibu utasikia tunataka katiba mpya, upinzani tanzania utakaa sana. Mara utasikia Rais hafuati katiba mara Rais anavunja katiba. Ongera mleta mada kwa kudadavua na kutuchimbia gimbi tutalipika na kulila.
 
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Kutoa MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) huko Hedaru kipindi cha kampeni INARUHUSIWA?

Dr. Mahera naomba UFAFANUZI.
 
Wanatunga Katiba halafu wanasahau baadhi ya vifungu, sasa wanajichanganya. Kifungu hicho kinaweza kuwasambaratisha ACT.
Wamejivua uanachama ACT msajili pia mbali na kuwavua ugombea urais na ubunge anatakiwa awatake waitishe uchaguzi wachague kiongozi mkuu wa chama mpya mwenyekiti wa chama taifa mpya na wajumbe wa kamati kuu ya uongozi mpya

Chama kwa sasa hakina viogozi wa juu kwa kuwa wamejivua uanachama
 
Kutoa MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) huko Hedaru kipindi cha kampeni INARUHUSIWA?

Dr. Mahera naomba UFAFANUZI.
Dk Magufuli bado ni Rais wa nchi anaendelea na kazi za urais kama kawaida. Anaendelea kuteua viongozi, kutumbua, kusimamia miradi, kutoa maelekezo kwa watendaji, kuidhinisha matumizi ya pesa za serikali nk

Shughuli za utendaji wa serikali ruksa kuendelea nazo katiba inampa mamlaka hayo
 
Umeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa.
Walioshiriki kuamua wote uanachama wamejivua na sio wanachama wote kuna kagenge ka watu wachache kanaitwa kamati ya uongozi ya ACT wazalendo msikilize Maalim Seif alichoongea.Walivunja katiba hao wamejivua uanachama

Pili katiba inatangaza wazi MTU akishawishi apigiwe kura mtu wa chama kingine kajivua uanachama. Zitto Kabwe na Maalim Seif kazi ya kushawishi wampigie kura Lisu wamekuwa wanaifanya mchana kweupe jua linawaka wamejivua uanachama wavuliwe ugombea na uongozi ndani ya chama cha ACT sababu si wanachama tena na kampeni wasimamishwe kuendelea nazo
 
Kasome katiba yao kama ina kipengele hicho nao wamejivua uanachama

Lakini pia soma katiba ya CHADEMA pia kama kuna kipo kipengele kama hicho cha ACT wazalendo Lisu na Mbowe wamejivua uanachama hivyo wanatakiwa kuvuliwa ugombea sababu watakuwa sio wanachama wa Chadema automatically
 
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
Not ''We are slave'', write
'' I'm slave''.
 
CCM na tume yake hupenda Uchaguzi uwe na sintofahamu kama kipindi kila Matokeo ya Tunduru kuletwa Tunduma
Upinzani ndio huzua sintofahamu hili la kujivua uanachama hili mnalo.Maalim Seif na Zito Kabwe sio wanachama wa ACT wazalendo tena wamejivua wenyewe uanachama ni Msajili na NEC na ZEC kuwavua tu

Tunaomba Msajili,NEC na ZEC mchukulie serious hii issue .Hawa watu sio wanachama tena wa vyao hivyo hawastahili kuendelea kuwa wagombea
 
Wanatunga Katiba halafu wanasahau baadhi ya vifungu, sasa wanajichanganya. Kifungu hicho kinaweza kuwasambaratisha ACT.
Wameingia mtegoni
Msajili alipowaambia wamevunja sheria walimtukana na kumuona sifuri kichwani ohhh kwenda zako sheria IPI tumevunja!!!.

Akawanyamazia kimya na wakamjibu kijeuri kwenye barua yao alipowaambia kumuunga mkono mgombea wa chama kingine ni kosa kisheria

Kumbe hawajui wakaenda na Lisu wao mwanasheria koko wakajifungia maktaba kukesha kusoma sheria zote za nchi wakasahau kusoma katiba yao tu ya chama cha ACT ambayo ingetosha kuwapa jibu kuwa Msajili alikuwa sahihi kuwapa onyo like

Msajili aliwapa onyo hawakusikia sasa ni wakati wa kuwapiga chini chap chap kwa Ku base kwenye katiba yao wenyewe
Msajili wamekurahishia kazi .Wanakwambia wazi sisi sio wanachama wa ACT wazalendo tumejivua wewe na tume wavueni ugombea
 
Ibara ya 5 tu bila kuathiri maana, tayari ina makosa mawili ya kiuandishi na yameandikwa hivi;
1. atakayesimamoshwa badala ya atakayesimamishwa
2. mashart badala ya masharti

Je hii ni katiba ya ACT kweli!
 
Mnataka kukiteka chama ?
Ateke nani? Zitto Kabwe na Maalim Seif wamejivua uanachama hivyo nafasi za kiongozi mkuu wa ACT wazalendo na Mwenyekiti wa ACT wazalendo taifa ziko wazi pamoja na zile za kamati ya uongozi zinatakiwa pia kujazwa na wanachama wa ACT wazalendo ambao bado ni wanachama
 
Back
Top Bottom