Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Kwani hata ulaya kuna Bangi???

Hizi ni Bangi za JigilibeU ni za kuogopa kama ukoma!
 
Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Hiyo taasisi Mbona inawabambia kesi kuwapiga risasi wapinzani ingekuwa ni taasisi ya utu kama ya kikwete ni nani angeishutumu?
 
Huu uchaguzi ukiachwa hivi hivi bila NEC kufanya upendeleo na kuacha wagombea wabishane kwa hoja utakua ni wa Moto aisee na una raha yake.
 
Naona na nyinyi mume msahau wasira na kinana
 
Kama ni Rais mbona anagombea si angeacha aendelee kutawala. Kiuhalisia ilikuwa nchi ishikwe na Jaji Mkuu kwa muda hadi Rais atakapoapishwa sasa kuna sheria ilitungwa inayosababisha kwenye uchaguzi kuwa hakuna level ground.

Wewe uko na matatizo huoni hata kwa macho tu utofauti wa wanao mzunguka Lissu na wanao mzunguka JPM. Ndio mnadanganywa na maandishi ya wanadamu yanayoitwa sheria. Saa nyingine wako binadamu hawana tofauti na hayawani.
 
Utaratibu huu unaongelea labda ni wakilingine kwenu. Si wataifa huru ka Tanzania, leo ikihitajika kutangazwa hali ya hatari nchini lazima Rais na amiri heshi Mkuu, JPM angurume.
Mwambie atangaze kama ana ubavu huo. Hivi sasa anawaza jinsi ya kukabiliana na hoja za Tundu Lisu na kumbuka hawezi kutumia mawakili wa serikali wala wake binafsi.
 
Hiyo taasisi Mbona inawabambia kesi kuwapiga risasi wapinzani ingekuwa ni taasisi ya utu kama ya kikwete ni nani angeishutumu?

Muache Kikwete apumzike msitukumbushie maumivu, alishaanza kukana wa DR Ulimboka, umesahau nini wewe mpuuzi? Acha kufukua makaburi kwa kuvutiwa na marimari/Tiles zilizo ya jengea maana humo ndani utakutana na balaa
 
Wasaidizi wa Mh Rais na vyombo vya Sheria hawakupitia fomu ya Mh. Rais ili wamshauri au Nini kimetokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…