Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAN TO MANTundu Lissu mtundu Sana du, anpiga mapwido tu
Hiyo taasisi Mbona inawabambia kesi kuwapiga risasi wapinzani ingekuwa ni taasisi ya utu kama ya kikwete ni nani angeishutumu?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Limeshatupiliwa mbali!
Naona na nyinyi mume msahau wasira na kinanaHuyo muulizeni vizuri jinsi alivyofanya, iko namna.
Lissu na ni mjinga flani, mtu anayesahau Dr Slaa na Mashinji walikuwa makatibu wakuu wa cdm, unafikiri anasaidika vipi? Ila kwa akili yake na anavyojichekesha chekesha, anafikiri ni mjanja na anajua kila kitu. Kumbe ni mjinga wa kawaida tu kama wajinga wengine.
Kama ni Rais mbona anagombea si angeacha aendelee kutawala. Kiuhalisia ilikuwa nchi ishikwe na Jaji Mkuu kwa muda hadi Rais atakapoapishwa sasa kuna sheria ilitungwa inayosababisha kwenye uchaguzi kuwa hakuna level ground.
Pingamiz za kitoto kama hiz ndizo zimewaengua wabunge wengi wa upinzani.Hizo pingamizi za kitoto sana.leta Nyengine.
Kwani Tundu Lisu amejuaje au kuna watu wasio na mapenzi mema na Mheshimiwa Rais waliopo hapo Tume wamedukua hizo form.Wagombea wengi wa Upinzani wameenguliwa kwa sababu kama hizo.Sasa kama mmoja umemkata kwa sababu hiyohiyo kwanini useme kwa mwingine hiyo sio sababu
Mwambie atangaze kama ana ubavu huo. Hivi sasa anawaza jinsi ya kukabiliana na hoja za Tundu Lisu na kumbuka hawezi kutumia mawakili wa serikali wala wake binafsi.Utaratibu huu unaongelea labda ni wakilingine kwenu. Si wataifa huru ka Tanzania, leo ikihitajika kutangazwa hali ya hatari nchini lazima Rais na amiri heshi Mkuu, JPM angurume.
Naona mwaanza kujitokeza wenyewe wale walimpiga risasi pale Dodoma jee marahii utakua na shabaha maana mwaka juzi hakufaKwa hasira nilo nayo kwa huyu kibaraka hata saiz nikipewa bunduki namlipua haijalishi mengine tutajua mbele kwa mbele
Jamaa anawatesa sana, poleni. Tatizo wale mliowatuma Sept 7, sijui mliwaokota wapiKwa hasira nilo nayo kwa huyu kibaraka hata saiz nikipewa bunduki namlipua haijalishi mengine tutajua mbele kwa mbele
Mizombie ni mizombie tu... Lissu kamuwekea pingamizi mgombea urais wa ccm na sio Rais wa JMT. nyambafuRais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Kama Materazzi na Zidane, hadi Zizzou akapanick akaharibu game, world cup finalMAN TO MAN
Pengine madaraja na madege ndiyo yaliyosemaKwani Tundulisu amejuaje au kuna watu wasio na mapenzi mema na Mheshimiwa Rais waliopo hapo Tume wamedukua hizo form.
Hiyo taasisi Mbona inawabambia kesi kuwapiga risasi wapinzani ingekuwa ni taasisi ya utu kama ya kikwete ni nani angeishutumu?