PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni kweli ila siyo sana kama yako unayemwabudia huyo tapeli gwajima. Kwani muda wote alikuwa wapi na mbona wakati wa Magu aliyemuumba kisiasa aliufyata? Msiandike kama hamna kumbukumbu wala bongo jamanini.
Wewe ndiyo Tapeli kula pesa za walipa kodi kutetea mauaji uonevu maovu utekaji manyanyaso na vitendo vyenu haramu vya kishetani, kumbukumbu huna umejitoa fahamu zote na kusahau kuwa kipindi cha magufuli ndipo Gwajima alimgalagaza kipenzi mteule wa magufuli makonda Bashite na magufuli alijikausha kwa kuwa alijua Gwajima kaonewa
 
Kwahiyo Maria Ana intelijensia kali kuliko ya jasusi la mbinguni?
 
Tungekuwa na Bunge tungesema wapige kura ya kutokuwa na imani nae huenda kachanganyikiwa.
Wabunge wengi hawataki utekaji isipokuwa ibirisi Abas Tarimba ponjoro mkorogo ndiyo anapenda mauaji na utakaji viendelee
 
Hayo matekaji huwa yanaakili za kindezi ,huwa wanaogopa kuteka watu wenye mabiti kama gwajima .....hayamuwezi huyo .....ila uzuri wa Tz tumesha li jua litekaji Lao li kuu
 
Gwajima si mpumbavu,kishawaelewa si walimletea mwanamke akamrecord. Tatizo Magufuli aliwaamini sana kina Samia .
Samia had nothing kabisa during magu

Tuache hizi
 
Kwahiyo Maria Ana intelijensia kali kuliko ya jasusi la mbinguni?
Wapo Polisiccm wachache wema wenye utu hutoa taarifa za siri kwani na wao hawataki
Yupo kijana mmoja umri 41 anafuga madevu Nywele kanyoa Kama mtoto wa shule anatetea ugali wa Maza ake Mzazi.
Huyo ndiye kinara.
Screenshot hii reply usiijibu.
makala na chawaccm ni miradi yao ya kupigia pesa
 
Gusa gwajima muone, Afande Haqwadhi na wenzako mtarudi zanzibar usiku usiku
 
Huyu Anayetoa taarifa ndio mtekaji mwenyewe,kwa nini asimtaje aliyempa taarifa.Albadiri haikopeshi
 
Kwani yule Bibi Kilembwe wa Ginigi alijibu hoja au alifanya taarab na mipasho ya watu wa Pwani???
hapo sasa mkuu ndo unataka kupingana na Mungu, kwamba kiumbe chake alichokiumba na kukipa akili za kukitosha unasema kinafanya mipasho na taarabu.

mkuu acha mara moja kupingana na uumbaji wa Mungu.
 
Jasusi la mbinguni analindwa na mwenye mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…