Pre GE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

Pre GE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nzega iligawanywa ili Kigwa na Bashe wasiuane.
Bashe aliwabana mbavu maana alikuwa anakubalika na wananchi ila wenye nchi kwa kipindi kile walikuwa wanamtaka Kigwa na ndio maana pamoja na kushika namba 3 akachukuliwa plus kumpiga zengwe Bashe sio raia. Next uchaguzi watu wakaona isiwe tabu tukagawe majimbo
 
Duuh
 
Kila Halmashauri ingekuwa jimbo la uchaguzi. Wabunge 185 wangetosha sana. Halmashauri ina DED mmoja na kazi zinaenda lakini katika Halmashauri hiyo hiyo kuna wabunge wawili au zaidi😂😂😂!! Hivi kati ya ubunge na uDED ipi kazi ngumu?
Hii ingekuwa poa kabisa na uzuri kila mbunge anahesabiwa kama diwani kwenye baraza la madiwani hivyo issue zote za halmashauri anashiriki kikamilifu ambapo maamuzi yote yanaachwa kwa DED Kwa ajili ya utekelezaji.

Kwa maana hiyo yale yote nje ya uwezo wa halmashauri mbunge ndo alitakiwa ayabebe ayapeleke bungeni kupata support kwa serikali kuu lakini ajabu unakuta wilaya moja majimbo mawili
 
May be
 
Changamoto ya wanasiasa huwa gharama za kuendesha nchi haziwahusu lakini pia kulinganisha maendeleo nyakati za sasa na miaka ya nyuma. Unakuta mwanasiasa huyo huyo anahubiri kwamba nchi imepiga hatua na inafikika kwa urahisi kila pembe ya nchi ukilinganisha na miaka ya nyuma alafu baadae unasikia wanataka kugawa majimbo au wilaya au mikoa ili waweze kuwafikia wananchi kiurahisi huku report zao zikisheheni sifa kibao za urahisi wa kufikia wananchi kuimarishwa
 
Hahaha.....umeona hizo janja janja zao?
 
Ndo umejua leo mkuu baada ya TAL kusema? Mbona sisiem hiyo tabia walianza zamani.

Hata Magufuli alimegewa na Mkapa Jimbo la Chato kutoka Biharamulo baada ya kuona mwamba kila uchaguzi anachezea za uso kutoka kwa Phares Kabuye.
 
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa kuna ulazima wa majimbo mapya kuongezwa. Naona ni kujiongezea mzigo wa gharama kama nchi. Hoja ya kupata wawakilishi wa wananchi ni nyepesi mno kwenye huu ulimwengu wa digitali. Kama ni kero za wananchi siku hizi zinaibuliwa na wananchi wenyewe na kuonekana nchi nzima kupitia mitandao. Ninaweza nikawa Mbamba bay nikajua kule Karagwe kuna sehemu hakuna daraja mtaani.

Pia kwa kigezo cha kujua tu kusoma na kuandika kama sifa za kuwa mbunge zinafanya bunge liwe sehemu tu ya kupitisha miswada ya sheria na sio kutunga. Wabunge wanaoweza hata kukosoa miswada wanayopelekewa bungeni ni wachache mno. Si huwa mnaona bungeni utakuta muswada wa sheria ya kuhusu michezo mbunge anasimama na kudai jimboni kwake kunatakiwa daraja..
Sahihi kabisa Tena hata yangepunguzwa tu. Ni sahihi pia sababu ni kweli kero nyingi zinaibuliwa na wananchi zaidi kuliko wawakilishi wenyewe
 
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.

Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.

Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini.

Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo Machache kuliko Njombe yemye wapiga kura wasiozidi laki sita.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Na baadhi ya mikoa imepewa majimbo mapya. Na anadai kuwa majimbo mengine ni matumizi mabaya ya fedha za kuendeshea lakini hayahitajiki ispokuwa yanawekwa ili kutoa fursa kwa watu fulani fulani.

Hii haipendezi kabisa ikiwa Watanzania tunalipa kodi kwa lengo wa kuendeaha shughuli za seeikali na maendeleo lakini zinaweza kuishia kuhudumia watu wachache. Hili serikali iliagalie upya.

Bonne jourrnée

Tubadiliahe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.

Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
 
Hili limeelezwa na kupangwa vyema kwenye Katiba ya Jaji Mstaafu Warioba
 
Ndo umejua leo mkuu baada ya TAL kusema? Mbona sisiem hiyo tabia walianza zamani.

Hata Magufuli alimegewa na Mkapa Jimbo la Chato kutoka Biharamulo baada ya kuona mwamba kila uchaguzi anachezea za uso kutoka kwa Phares Kabuye.
Phares Kabuye alikuwa wa Moto sana.
 
Mbinu hiyo ipo muda mrefu tu.... Nakumbuka awamu ya nne kipindi cha pili cha Kikwete kuna kituo kilifunguliwa kinyemela kikatumika kama kituo fulani hivi maalumu kwa VIPs.
Kalumanzira huko shamba anakotoka huwa anaaswa kabisa kuwa makini afikapo mjini. Hizo ndizo zao CCM yenye wenyewe. 🤔
 
Back
Top Bottom