Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka.
Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71.
Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 20 na kufikia Trilioni 91.
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122
Ndugai alikua sahihi, hii nchi ipo siku itapigwa mnada.
View attachment 2441891
Kwa mwendo huu,njia pekee ya kuokoa hii nchi,ni massuprising,kama ilivyokuwa Arab uprising,sasa itokee "south of Sahara" up rising,
Wanazuoni wanasema,"many African countries/ststes,have mafia organizations"hapa kwetu,Mafia organization,have a state,what we have now is state capture,
Idara zote zimeshikwa na cartel,Hawa wanachoangalia ni kuendelea kuwa Madarakani,hawawazi maendeleo,
Ni jinsi gani wataendelea kutawala nchi hii,Idara zote zimeshikwa,Jeshi,polisi,Intelijensia, public offices.Hata Mkuu wa majeshi,akienda kinyume anatulizwa,
Polisi wameachwa waumize raia,ila isiwe kwa makelele sana,Kila mtu ale kwa urefu wa kamba,
Wazee kama Warioba,Butiku,Hawa sio wa kuwategemea,maana hata Hawa wananufaika sana na huu mfumo.
Dawa ni risasi tu zilindime,mama mwenye kulembua macho,aende akalembulie zenj