The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sasa unauliza Nini Kama unajua kwamba mapato yasiyo ya kikodi?Unaweza kutusadia ni taasisi gani ama kampuni gani ya serikali ambayo inapata faida na kupeleka hela ama gawio serikalini?
TPA sio kampuni ya serikali, ni taasisi inayokusanga pesa kwa niaba ya serikali, TPA haifanyi biashara yoyote.
Kwenye bajeti kuu ya serikali, makusanyo ya TPA, halmashauri nk na taasisi zake zote hua yanatajwa kama mapato yasiyo ya kikodi, non tax revenues.
Toa ujinga hapa,Jiko lipi? La mkeo labdaWewe unaleta hadithi, mimi niko jikoni ndio maana nakuuliza ulete ushahidi najua huna.
Basi leta ushahidi.Toa ujinga hapa,Jiko lipi? La mkeo labda
Ushahidi wa Nini? Maana sikuelewi unataka Nini nikupe?Basi leta ushahidi.
Toa ushahidi boss.
TANZANIA LAZIMA IPIGWE MNADA TUKwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka.
Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71.
Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 20 na kufikia Trilioni 91.
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122
Ndugai alikua sahihi, hii nchi ipo siku itapigwa mnada.
View attachment 2441891
Ndio ujue kwamba mataahira ni wengi sana awamu hiiHivi ilikuwaje kipindi cha Jiwe TRA ikitoaga report kuwa makusanyo ni Tril 1.3, 1.4, au 1.6 watu wakawa wanabisha kuwa jamaa anapika Data! ila sasahv wanasema wamepiga zaidi hatusikii zile story za ZItto kuwa wanaendelea kupika Data!!
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122[emoji848][emoji3064][emoji2827]Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka.
Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71.
Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 20 na kufikia Trilioni 91.
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122
Ndugai alikua sahihi, hii nchi ipo siku itapigwa mnada.
View attachment 2441891
Maana yake 32% ya bajeti yetu ni mikopoSasa unauliza Nini Kama unajua kwamba mapato yasiyo ya kikodi?
Mapato ya TRA ,yasiyo ya kikodi kutoka hizo taasisi na mikopo ndio huwakilisha bajeti [emoji116]
Miradi yenyewe ni SGR na bwawa la umeme ambayo haifiki tl. 10Yeye ma wafuasi wake ni tatizo.
Pia yeye ndo sababu deni letu linakuwa sababu alianzisha miradi mikubwa mingi ambayo huwezi izuia kwani itabidi umlipe mkandarasi, hivyo hawa nao wameona wakope wamalize tu
Hii Hapa Ni Asilimia 32%?Maana yake 32% ya bajeti yetu ni mikopo
Kwa mwendo huu,njia pekee ya kuokoa hii nchi,ni massuprising,kama ilivyokuwa Arab uprising,sasa itokee "south of Sahara" up rising,Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka.
Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71.
Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 20 na kufikia Trilioni 91.
Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122
Ndugai alikua sahihi, hii nchi ipo siku itapigwa mnada.
View attachment 2441891
Khaaa mwalimu wako alikua na kazi sanaNa tunakopa tena.
Kiufupi mikopo ni mizuri na inasaidia taifa ila baadhi ya mikopp haitakikani kwa wakat huu maana tutajauza baadhi ya rasmali za taifa
Sasa Tril 13.4 /Tril 41 unapata ngapi?Hii Hapa Ni Asilimia 32%?
Angalia kwenye table hapa[emoji116]
👍👍Sasa Tril 13.4 /Tril 41 unapata ngapi?
Harafu mikopo mingine unaweza kuwa iliidhinishwa Miaka ya nyuma ikaja kutolewa kipindi hiki ndio maana unakuta mikopo mingi kuliko kilochopangwa kwenye bajeti..Hii ni wastani wa kukopa Trilioni 1.05 kwa mwezi, ama wastani wa kukopa Trilioni 13 kwa mwaka. Kwa miaka 4 atakayokua madarakani hadi 2025 ataacha deni la Trilioni 51 na jumla ya Deni la taifa litakua Trilioni 122[emoji848][emoji3064][emoji2827]