Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

Hilo deni la taifa limejumuisha pia madeni ya ndani yaani domestic debts (tresuary bills na government bonds) au ni external debts ..?? ..
 
We kumah una bahati uko Ludewa tu ila ungekuwa kwenye radius ilikuwa ni kuhakikisha unaolewa haraka sana. Wacenge kama nyie ndio mnastahili kuwa eliminated maana ni sumu kwa ustawi wa nchi. Unatetea mambo ambayo hayana mashiko.stupid muthafucka
 
We kumah una bahati uko Ludewa tu ila ungekuwa kwenye radius ilikuwa ni kuhakikisha unaolewa haraka sana. Wacenge kama nyie ndio mnastahili kuwa eliminated maana ni sumu kwa ustawi wa nchi. Unatetea mambo ambayo hayana mashiko.stupid muthafucka
Kumar Ni mama yako na mkopo lazima utalipa utukane au ushangilie utalipa tuu.
 
Huyu jamaa anapenda kutumia assumption kwenye mambo serious kama haya ....
Mkopo aliochukua mwigulu Korea kusini wa dolar bilioni 1. sawa na trilion 3 uliidhinishwa na nani ......licha ya kuweka tozo Kila sehemu bado mikopo isiyo na njia inaongezeka ..tunakubali kukopa sawa ,lakini lazima kufanyike analysis ya kutosha ya namna ya kusource funds Kwa ajili ya kulipa hayo madeni .
 
Huelewi hata unachoongea zaidi ya kuropoka tuu..

Nakusaidia bwana mbumbumbu,kazinya Waziri wa fedha Ni kutafuta Pesa kwa mujibu wa bajeti kwa kukopa au mapato..

Sasa Mwigulu kutafuta mkopo Korea Kuna shida gani? Kavunja sheria ipi?

Usiwe unakua kilaza hivyo wewe,mfano kwenye bajeti inatakiwa wakope Til.10 Sasa unadhani wanazotoa mbinguni au?

Kuhusu Tozo nk Ni vyanzo vya mapato Kama leseni nk nk
 
Umekosea kuandika kichwa cha uzi. Omba Moderator wabadilishe kisomeke:-

"Kwa mwaka 1 na miezi 9 serikali ya rais Samia IMEKOPA sh trillion 20"
 
..mkuu Gov inaweza isikope sana kwa kubana sana matumizi yake na ndivyo wanavyofanya nchi nyingi kwa sasa...unakusanya lakini unabana matumizi..futa safari/tumia balozi kwenda vikaoni nje ya nchi, vikao vya ndani fanya online, etc etc...then wekeza kwenye rasilimali ulizonazo na kubana mianya ya ukwepaji kodi hasa kodi kubwa..mh mkapa nadhani alifanya haya tukakaribia kumaliza madeni yote.
 
Ndio mpaka iamue kubana hayo matumizi Sasa maana kwenye OC Kuna Til.5 nzima.
 
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Billioni 1 na Millioni 500 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
 
Kumbuka huo mkopo haujawekwa kwenye hizi hesabu za leo.

Serikali yetu ni kama inakopa kulipa deni,afu inakopa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…