Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

HIVI NI KWELI DENI LA TAIFA LIMEFIKA TRILLIONI 91.?

Uko Twitter na Jamii forum kuna watu washaanza kumsingizia Hayati Rais Magufuli, sasa niliweke sawa jambo hili, baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,Waziri wa fedha alitoa taarifa kuhusu deni la Taifa nami nanukuu;-

"Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021."

Shame on you mnaemsingizia Marehemu.
 
Asilimia 32 ya bajeti ni mikopo.

Bajeti ya mwaka ujao yaweza zidi hapo
Tanzania yatakiwa ikusanye angalau Tril 35, tatizo kubwa ni siasa, walipa kodi wachache, wengi wameachwa na hawaguswi sababu ndo wapiga kura
Si mliguswa kwenye tozo mkapiga kelele...mi hata sijaelewa concept yako
 
Heading ya uzi huu imenivutia sana.

====​

Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20​

 
Mikopo ikijenga SGR na Nyerere Dam na barabara mpya za lami haina shida sio kuishia mifukoni mwa watu!
 
Kutokana na taarifa za TRAB na TRAT hili deni ni stahimilivu!
 
Mhh kumbe marehemu alikuwa anakopa mbona alisema hakopi Bali anatumia fedha za ndani? Ule uongo ulikuwa ni kwa faida ya Nani?
Alisema lini hakopi?,ebu weka ushahidi kwa manufaa ya umma.
 
Wamama wanapenda sana kukopakopa.Hata huku mitaani wa mama wanasababisha migogoro ya kifamilia kwa kuwa wanakopakooa hovyo na hakuna cha maana wanachofanya kama huyu hangaya anavyofanya haya madudu yake.Wtz tuukatae huu uhuni wa hangaya.
 
Tra ni figure za mdomoni na kwenye makaratasi mkuu hakuna kitu mkuu hao jamaa nowdays wanavuna na kuweka mifukoni mwao tu
 
Tra ni figure za mdomoni na kwenye makaratasi mkuu hakuna kitu mkuu hao jamaa nowdays wanavuna na kuweka mifukoni mwao tu
Wangekuwa wanavuna na kuweka mikononi mwao Mipango na miradi ya Nchi ingekwama Sasa Kama inaenda seems wanachoweka mikononi mwao Ni kiduchu Sana kumbuka wanawekewa Target lazima wafikishe target
 
Mkuu tuna kopa kwa wazungu wazungu hawana shida kwenye kuwalipa wao pesa kwao siyo tatizo tatizo kwao ni kutofata masharti yao.
Kakudanganya Nani? Kwa taarifa yako Nchi ambako Tzn Ina Deni kubwa Ni Iran Sasa Iran wanaweka masharti gani?
 
Watanzania sijui mnataka nini mpewe!? Si mlisema Mama anafungua Nchi na mnataka pesa iongezeke mtaani!? Sasa ndiyo Mama yuko busy kuleta pesa kitaa vumilieni Sasa!!
 
Na lini tulifanya wenyewe????ucziamini zle fix za jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…