Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Mliamua hadi kuwatoa kina hasnat hanje gerezani usiku na kuwaapisha kwenye corridor za bunge
 
Hapa ndio unaona umecheza mind game ya hatari?!
 
Tunahitaji maridhiano kwa faida ya Nchi yetu japo Wahafidhina pia tunajua wapo na wanachukizwa na hilo

Mbowe na Rais watasimama imara kufanikisha
 
kwa hiyo Babu Seya asingetolewa kabisa hiyo kutolewa usiku isingekuwa hoja ?
Kwahiyo ili asifie gerezani ilibidi atolewe usiku? Mbona babu seya alitolewa mchana japo alikuwa na case ya ulawiti????
 
Tunahitaji maridhiano kwa faida ya Nchi yetu japo Wahafidhina pia tunajua wapo na wanachukizwa na hilo

Mbowe na Rais watasimama imara kufanikisha
Hamna maridhiano yoyote bali utapeli mtupu.
 
sio huko tu hata CCM kuna wahafidhina wa kupinga maridhiano

hata wakati wa kupigania Uhuru kuna wapinga uhuru pia hawakukosekana
 
Kwahiyo ili asifie gerezani ilibidi atolewe usiku? Mbona babu seya alitolewa mchana japo alikuwa na case ya ulawiti????
Jiwe alikuwa anakwenda kinyume na sheria za nchi
 
Ebu chukua kikombe cha maji unywe angalau akili itulie
Jioni tunakunywa Kahawa Sheikh

nipo hapa kibarazani na kikoi changu na kikombe cha kahawa napiga Soga wana barza wenzangu
 
Hao watu Huwa wanakuja kuwashangaa tuu,waambie wakapige kura au kuandamana kama utawaona
 
Jioni tunakunywa Kahawa Sheikh

nipo hapa kibarazani na kikoi changu na kikombe cha kahawa napiga Soga wana barza wenzangu
Upo sehemu gani hapo Ngara?upo Kabanga au rusumo?
 
sio huko tu hata CCM kuna wahafidhina wa kupinga maridhiano

hata wakati wa kupigania Uhuru kuna wapinga uhuru pia hawakukosekana
Kwani bado hujarudi kwenu gisenyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…