United States of Africa (USA) - 2050
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko ilivyo sasa ambapo wa-Afrika wana-exhibit uwezo mdogo mno wa kupambaua mambo ikilinganishwa na watu wa...www.jamiiforums.com
Ndio muungano ndio nguvu yenyewe kuanzia kiuchumi na kijamii, ndio maana EAC inajitanua kila leo Congo iko EA , sudan ndani, somalia ndani baadae tutaihitaji ethiopia, eritria na djbout hapo tutabaki tunalilia kanda sasa ziungane SADC, EAC , COMESA, ECOWAS na kadhalika zije pamoja tuingie ndani ya AU iliyo kamili na kuondoa vikwazo kwa watu wa Africa lakini wavurugaji kama kagame wanatakiwa kuonywa sana maana wanatamaa za kupita kiasi