Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.
Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli
Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.
Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.
Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula