Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.

Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli

Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.

Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.

Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula
Kazi ya Waziri sio kumlinda mlaji, Mlaji anawajibu wa kutafuta hicho Chakula Kwa gharama zake, Kazi ya Waziri sio kuwafilisi wakulima wasiuze Mazao Yao Eli yashuke Bei, Tupo kwenye Soko huria Wewe piya Unaruhusiwa kufungua Huo Uchumi Wako ulio Ukalia, Unaweza kwenda nawewe Kulima Kama unaona Wanaolima wanafaidi, Hivi Nyie Mbwa mnajuwa Gharama za Kilimo? Unazifahamu changamoto za kilimo? Au nyie ndio wale kwenye Ule Mpango wa Watu wa Magharibi na mambo yenu Ya UPNDI?? Lakini hizi NGO na Vikundi vyenu vya Mambo ya Upindi wanawapa Hela mzitumie Kununua Chakula.
 
Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.

Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli

Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.

Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.

Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula
USA hawawezi kufanya hivyo kwa kuwa wakulima walipewa ruzuku katika pembejeo ili kurahisisha uzalishaji.
Mkulima wa tanzania anazalisha kwa nguvu zake mwenyewe na kudra za mvua ya mwenyezi Mungu, hajasaidiwa chochote na serikali, leo unakuja kubwabwaja hapa eti chakula kiko juu, mbona bei za bidhaa za madukani zipo juu na huyu mkulima ananunua lakini mazao yake mnataka kununua kwa bei ya chini?
Hujawahi kulima ndiyo maana unaongea hivi, acha soko liamue bei.
 
Back
Top Bottom