Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Usikute wewe ulie andika msimu wa mvua umepita na hujalima hata mchicha au tembele hapo nje kwako.Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.
Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli
Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.
Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.
Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula
PumbavuJamani mapori yako wazi ukiona gharama kununua kalime chakula chako
Tuko kwenye free market ndugu yangu , Soko ndio linaamua Bei , kifupi Supply na Demand ndio zinazoleta Bei kuwa ndogo or Kubwa. Piya elitakiwa umpe lawama sio Kwa Bei zimeoanda, Ila Kwa serikali kushindwa kuwasadia wakulima kupunguza gharama za za uzalishaji, Leo Hii kilimo kimekuwa Cha gharama kubwa, Mbegu zipo Juu, Disiel Zipo Juu, Viwatilifu vipo Juu, mbolea Bado Bei zake sio rafiki, Kilimo chetu kinategemea mvua hatuna mifumo na miundo mbinu ya umwagiliaji.Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.
Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli
Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.
Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.
Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula
Shubamiti mkubwa wewe, utakoma na Hilo komwe lako unalalamika mazao bei juu? Kalime wewe uje utuuzie kilo ya mchele shingimiatano tutakushukuru sanaPumbavu
Kama imeshindwa kuishi Mjini Rudi kijijini acha kulalamika, Bei zote zinatokana soko, Hata Leo Hii serikali ikizuia , ila ikifika Desemba mwaka huu utanunua Debe Tshs 50,000/ Cha msingi shauri viongozi wako wawe na sera , na watumie wataalam kwenye kubuni Mipango ya Kilimo, Bila kuangalia Nini kinatakiwa kufanyika itakuwa ni story tu Kila mwaka, Tunawakulima Wasomi wenye experience kwenye field Wana majibu ya haya matatizo yetu.Pumbavu
PumbavuJamani mapori yako wazi ukiona gharama kununua kalime chakula chako
Hao wanaohangaika kupata chakula ni wavivu na wezi inabidi wakamatwe Kisha wafungweSasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu.
Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli
Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini.
Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa na plan ya kulinda walaji wa ndani.
Bashe amefeli kuwa waziri wa Chakula
Nyie ndo vibaka mliojazana mijini mkizuga kutembeza madodoki matatu Dar nzimaPumbavu
Pumbavu huna akiliHao wanaohangaika kupata chakula ni wavivu na wezi inabidi wakamatwe Kisha wafungwe