Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Pumbavu sana wewe pimbi! Nani ametumwa hapa! Huyo Makamaba anaufanisi gani! Nyie wote wapumbavu tu! Hata huyo Rais wako wa katiba mpende wewe sisi hatumtaki na 2025 utaona!
We Ni kichaa unaeitaji kupigwa pingu ukaifadhiwe milembe,

Hiyo 2025 hizo kura zako sio za muhimu Sana,Kwanza vichaa huwa hawaruhusiwi kupiga kura
 
Reactions: Tui
well said, makamba hafai kabisa, hili jamaa linapiga pesa mchana kweupe, nilijambazi kuu nchini kwetu
 


Mbona amekuwa akisisitiza mtu asipowajibika ipasavyo atamtumbua?!
 
Toka jamaa aingie kumeanza migao ya Maji na umeme kukatikatika
 
Mbona amekuwa akisisitiza mtu asipowajibika ipasavyo atamtumbua?!
Ilikuwa mwanzo tu kutafuta timing ya kuwatoa watu wa mtangulizi wake ili aandae timu yake. We si umesikia kalemani anaitwa goigoi na mama huku January akionekana shujaa kwa mama.
 
Bila shaka utakuwa mchepuko wa Makamba maana sio kwa chuki hizo
 
Toka ateuliwe hata miezi 3 hana.....mmeanza kunyooshea vidole watu duuuh 😳🤣🤣

Kwani J.Makamba ni mgeni nchi hii?!!

Hakujulikana mambo yake ya nyuma(mazuri+ changamoto) ?!!

Mamlaka za uteuzi zimejiridhisha kuwa atafaa akihudumu hapo.....


Siempre JMT
 
Karibu kila mtanzania wa mitandaoni ni mwanasisa.Na baadhi ni washauri wa Rais kuhusu nani afukuzwe kazi na nani ateuliwe
Huu ukosefu wa majukumu umekuwa kidonda sugu kwenye maisha ya kila siku ya watanzania wa mitandaoni.
🤣🤣
 
Reactions: Tui
Kwani kutumbua watu ndio sifa hilo neno lime fanana na alie lianzisha sio lugha ya stahaa
 
Kwani kutumbua watu ndio sifa hilo neno lime fanana na alie lianzisha sio lugha ya stahaa
Kama mtu akifanya uzembe unataka tutumie staha ya ahamishwe apelekwe kwingine au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…