Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Umeanza upuuzi wako.
Mpira unachezwa hadharani hayo mambo ya mpemba hayana nafasi.

Mikia mneshaanza kujishtukia kwamba mnapigwa leo. Na mimi nasema mpigwe tu maana hakuna namna.

Wema ni akiba.
 
Umeanza upuuzi wako.
Mpira unachezwa hadharani hayo mambo ya mpemba hayana nafasi.

Mikia mneshaanza kujishtukia kwamba mnapigwa leo. Na mimi nasema mpigwe tu maana hakuna namna.

Wema ni akiba.
Hizo dua mulianza zamani sana..bado hamjachoka tu??
 
Mechi dhidi ya vital ulikuja na porojo kama hizi kua inatakiwa kafara ya damu ya kiongozi na shabiki mmoja ili simba ishinde sijui kama hilo lilitekelezeka....
 
hivi kwa nini nasema kweli mechi zote wakija na wale ningejua mapema bora waweke hapo sababu nchi zetu na chakula kiliisha siku cha msingi shule ziwe na pamoja na maabara wale watoto wachanga
 
Back
Top Bottom