GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Simba Sports Club
Nawasilisha.
Mungu Ibariki Simba Sports Club
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo hakuna tatizo Simba Sc anaweza kushinda leo,Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Simba Sports Club
Nawasilisha.
Hizo dua mulianza zamani sana..bado hamjachoka tu??Umeanza upuuzi wako.
Mpira unachezwa hadharani hayo mambo ya mpemba hayana nafasi.
Mikia mneshaanza kujishtukia kwamba mnapigwa leo. Na mimi nasema mpigwe tu maana hakuna namna.
Wema ni akiba.
Mungu ibariki pia TP Mazembe...Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Simba Sports Club
Nawasilisha.
Mechi saa ngapi!?
Utabir wako nahuyo mtu wako wa kipemba hujawahi kutimia hata siku moja kila siku utabir wenu una failWengi watanuna Mkuu.
Kwann unateseka mzee?Umeanza upuuzi wako.
Mpira unachezwa hadharani hayo mambo ya mpemba hayana nafasi.
Mikia mneshaanza kujishtukia kwamba mnapigwa leo. Na mimi nasema mpigwe tu maana hakuna namna.
Wema ni akiba.
Mkuu tangu lini manara ameanza kupanga kikosi?Mbona hatuoni kikosi wakuu naona stori tu toka Jana manara nae anapiga porojo tu kule Instagram aache kutuletea kikosi cha mauaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi huwa kitanatoka SAA moja kabla ya mchezoMbona hatuoni kikosi wakuu naona stori tu toka Jana manara nae anapiga porojo tu kule Instagram aache kutuletea kikosi cha mauaji
Sent using Jamii Forums mobile app