Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Mkuu natamani ungejua kuwa umeongea vice versa hapo kwenye West an East African Countries. Wa west wengi waliotawaliwa na France hali zao tia maji tia maji sana.
 
Mkuu natamani ungejua kuwa umeongea vice versa hapo kwenye West an East African Countries. Wa west wengi waliotawaliwa na France hali zao tia maji tia maji sana.
Sijafika west countries by the way najaribu kuweka sawa kuwa ukitafta umaskini hapa Tanzania bado ni Mkubwa most of us , Maisha hayajakaa sawa tunaishi hand to mouth

Viwango vya umasikini vimetofautiana lakini tusiseme burundi ni masikini na tukanisahau sisi
 
Hapo kuna nchi tajiri tatizo vita mfano sudani kusini ilitulia tz aiwezi tia mguu
 
[emoji3581]
 
Foleni itakosaje hali yakuwa barabala ni 1 tu?
 
Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.
Wewe usie imba kwanya ni tajiri namba ngapi tz?
 
Wewe hapo ulipo huna dini unamiliki nini katika mali?
Maarifa ya kutambua dini ni kwa ajili ya matajiri sio masikini, Yesu mwenye alisema ni rahisi kwa ngamia kupita tundu la sindano Ila ni ngumu kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu walakini hakua anamaanisha km vile wengine walimaanisha maana ni lugha fichi
 
Wewe usie imba kwanya ni tajiri namba ngapi tz?
Usipingane na ukweli jiongezee Maarifa kwa wanaokuongezea Maarifa mwenye kutembelea Range Rover ha-hang out na mtembea Peku au anaetembelea ndala huku kabeba fuko au loba lililojaa makopo matupu
 
Kuna vitu hujaelewa.
Amezungumza kujitenga na dini hajasema kujitenga na imani.

Wengi mnachanganya haya mambo mawili
Kuna watu misukule utawasikia wakisema heti mimi sina dini lakini na muomba Mungu,swali bila dini Mungu unge mjuaje?
 
Mbona wanachanga sana hela mpaka sasa mwamposa kawa tajiri hizo hela wanapata wapi kama hawafanyi kazi?
 
Jibu swali hacha porojo unamiliki nini katika mali?
 
Usipingane na ukweli jiongezee Maarifa kwa wanaokuongezea Maarifa mwenye kutembelea Range Rover ha-hang out na mtembea Peku au anaetembelea ndala huku kabeba fuko au loba lililojaa makopo matupu
Jibu swali hacha kuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…