Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

Haahaa eti Bora wavute mpunga na ccm
 
Mbinu Peter iliyobaki kwa upinzani kuweza kushika na kuongoza nchi hii ni kupandikiza watu wao ndani ya CCM. Ni kwa njia hiyo tu wataweza kuivuruga CCM na mwisho wa siku itabaki kweupe. Ni njia ndefu lakini salama!
 
ona jinga lingine
 
Yaani umeamua kututukana Watanzania ni wajinga sababu tumewakataa mabeberu?

Pole sana unywe maji hasira shule.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mtanzania mjinga na muoga ni ww hapo na wa kwenu. Mnakuwaga wajinga kuhisi mnapendwa na watz wote, hamjui kuna the silent majority. Mkijiona mnabweka bweka mitandaoni na accounts fake mnadhani mpo wengii. Poleni sana
 
Ndio maana hujawa na hautokuwa kwa akili na ufahamu ulionao sahau. Subiria kuitwa kwenye vikao vya chama na kuondoka na buku mbili.
Nyie wajinga kwa hizi kauli zenu, mtakalia benchi maisha yenu yote.
 
Mtanzania mjinga na muoga ni ww hapo na wa kwenu. Mnakuwaga wajinga kuhisi mnapendwa na watz wote, hamjui kuna the silent majority. Mkijiona mnabweka bweka mitandaoni na accounts fake mnadhani mpo wengii. Poleni sana
Tena hapo kuna wafuasi wengi sana wa Magu hawajaenda kupiga kura wakiamini atashinda tu.

Wangetoka wote bavicha wangepata 0
 
Kuna kituo flani cha kata flani matokeo ya sehem nyingine yamebandikwa hapo kwenye hilo kituo namatokeo ya hapo kwenye hicho kituo yamebandikwa kwenyekituo kingine na wapiga kura wamerelax tu.Je hapo tuwalaumu wapinzani au wapiga kura wenyewe?
 
Ujasiri hujengwwa, watanzania ni wazuri Sana sema muda bado. Usitegemee mabadiriko in such a short period of time. Mbona walichanga hela kuwatoa gerezani viongozi wao?
 
yan yule baba ataongoz tena,yan tutateseka tena kwa miaka 5???siamin kwa kweli,
Lissu ww ni mwanasheria,naomba fany Kitu..okoa Tanzania kabla huyu baba hajaapishwa mbona ushahid wa wiz wa kura upo wazwaz tu
 
Kuna kituo flani cha kata flani matokeo ya sehem nyingine yamebandikwa hapo kwenye hilo kituo namatokeo ya hapo kwenye hicho kituo yamebandikwa kwenyekituo kingine na wapiga kura wamerelax tu.Je hapo tuwalaumu wapinzani au wapiga kura wenyewe?
wapiga kur Wameambiwa wakae umbali wa mita 100 sasa ata hayo matokeo watayaonaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…