Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
Kila siku iendayo kwa Mungu mnazidi kudhihirisha upumbavu wenu, mkiambiwe ukweli wa wasifu wenu huu mnasema mnatukanwa. Hivi uzi kama huu kuna sifa nyingine unayostahili zaidi ya upumbavu? Suala la majeruhi kwa Manula liko wazi ni mechi nyingi tu hajacheza na nina uhakika unajua hili lakini kwa upuuzi tu umeanzisha uzi huu.
 
Watu wa soka awasemi anakimbia ila anajivunja na October atajivunja tena.
Hakuna Kipa mzuri anayejua anakwenda kufungwa alafu asifanye jitihada yoyote ya kujinusuru na aibu.
 
Hiyo historia haina maana yoyote leo kwani Yanga iliyocheza wakati huo ndiyo hii? Hujiulizi kwa nini mna point 0.5 tu? Huu ubishi mwingine mnajitafutia fedheha tu.
Mbona nyinyi mnaishi kwa historia kua mmefika quarter final champion league mara 3 sijui, hiyo sio historia?
 
Kila siku iendayo kwa Mungu mnazidi kudhihirisha upumbavu wenu, mkiambiwe ukweli wa wasifu wenu huu mnasema mnatukanwa. Hivi uzi kama huu kuna sifa nyingine unayostahili zaidi ya upumbavu? Suala la majeruhi kwa Manula liko wazi ni mechi nyingi tu hajacheza na nina uhakika unajua hili lakini kwa upuuzi tu umeanzisha uzi huu.
Majeruhi kila ikifikia mechi za yanga?
 
Back
Top Bottom