Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Hao Al Ahly ndio walimpiga 5 kipindi kile!!? Nawao ataanza kuwakimbia muda si mrefu!!Aache kuiogopa Al Ahly aje kuiogopa timu ya vinyesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Al Ahly ndio walimpiga 5 kipindi kile!!? Nawao ataanza kuwakimbia muda si mrefu!!Aache kuiogopa Al Ahly aje kuiogopa timu ya vinyesi
Anaogopa yale mashuti ya FeitotoKila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
Hakuna historia ya leo. Historia ni kuhusu matukio yaliyopita.Sisi tunazungumzia kuwa sasa hivi tuko nafasi ya 14 kwenye CAF ratings na tuna point 28 haya niambie nyie mko nafasi gani na mna point ngapi? Tuachane na historia tuzungumze ya leo leo
Siyo ubishi,tunawaeleza nyinyi zumbukuku ambao mnadhani Simba ndiyo timu ya kwanza tz kufika roboHiyo historia haina maana yoyote leo kwani Yanga iliyocheza wakati huo ndiyo hii? Hujiulizi kwa nini mna point 0.5 tu? Huu ubishi mwingine mnajitafutia fedheha tu.
Mwaka gan huo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu lete uthibitisho hapa, na walicheza na team ipi??? KhaaaahYanga amenza kucheza robo fainali za klabu bingwa Afrika wakati Simba wakitoka kuitwa queen [emoji146] kuelekea Sunderland bado jina la Simba halijapatikana.
Mambo ya robo fainali za CAF Yanga walianza kitambo wakati Tff inaitwa FAT.
Mashabiki wa utopolo FC wapo tayari kujitoa hata kiungo cha mwili kama sadaka Kwa mganga,,Yanga vinyesi wanaiogopa sana Simba sema mganga wao ni fundi sana
Hekaya za abunuasiYanga amenza kucheza robo fainali za klabu bingwa Afrika wakati Simba wakitoka kuitwa queen [emoji146] kuelekea Sunderland bado jina la Simba halijapatikana.
Mambo ya robo fainali za CAF Yanga walianza kitambo wakati Tff inaitwa FAT.
ndio hawa hapa chini:Hao Al Ahly ndio walimpiga 5 kipindi kile!!? Nawao ataanza kuwakimbia muda si mrefu!!
Unaelewa maana ya neno history?Hiyo historia haina maana yoyote leo kwani Yanga iliyocheza wakati huo ndiyo hii? Hujiulizi kwa nini mna point 0.5 tu? Huu ubishi mwingine mnajitafutia fedheha tu.
Unaelewa maana ya neno history?
Achana na hawa wanuka maviAcheni sasa naona mnatoka kwenye upumbavu mnaingia level ya ushenzi. Kwa kipi awakkmbie? Maana goli moja tuu mlituzidi.
Umempa heshima kubwa kubadilishana na gunia la ufutaUngekuwa ndugu yangu wew ningeomba tu nibadilishane na gunia la ufuta! hujitambui
Anaogopa lawama mwenzio. Kila siku Simba inafungwa na Yanga....mara ya nne mfululizo na wakijitahidi mpaka mwisho ni kupata sareKila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
Matusi ndio silaha yenu sio?Kila siku iendayo kwa Mungu mnazidi kudhihirisha upumbavu wenu, mkiambiwe ukweli wa wasifu wenu huu mnasema mnatukanwa. Hivi uzi kama huu kuna sifa nyingine unayostahili zaidi ya upumbavu? Suala la majeruhi kwa Manula liko wazi ni mechi nyingi tu hajacheza na nina uhakika unajua hili lakini kwa upuuzi tu umeanzisha uzi huu.
MAKOLO mnashangaza sana[emoji23] Timu ya vinyesi inayowafunga kila siku pamoja na ushirikina wenuAache kuiogopa Al Ahly aje kuiogopa timu ya vinyesi