Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

Sisi tunazungumzia kuwa sasa hivi tuko nafasi ya 14 kwenye CAF ratings na tuna point 28 haya niambie nyie mko nafasi gani na mna point ngapi? Tuachane na historia tuzungumze ya leo leo
Hakuna historia ya leo. Historia ni kuhusu matukio yaliyopita.
 
Hiyo historia haina maana yoyote leo kwani Yanga iliyocheza wakati huo ndiyo hii? Hujiulizi kwa nini mna point 0.5 tu? Huu ubishi mwingine mnajitafutia fedheha tu.
Siyo ubishi,tunawaeleza nyinyi zumbukuku ambao mnadhani Simba ndiyo timu ya kwanza tz kufika robo
 
Yanga amenza kucheza robo fainali za klabu bingwa Afrika wakati Simba wakitoka kuitwa queen [emoji146] kuelekea Sunderland bado jina la Simba halijapatikana.
Mambo ya robo fainali za CAF Yanga walianza kitambo wakati Tff inaitwa FAT.
Mwaka gan huo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu lete uthibitisho hapa, na walicheza na team ipi??? Khaaaah
 
Yanga amenza kucheza robo fainali za klabu bingwa Afrika wakati Simba wakitoka kuitwa queen [emoji146] kuelekea Sunderland bado jina la Simba halijapatikana.
Mambo ya robo fainali za CAF Yanga walianza kitambo wakati Tff inaitwa FAT.
Hekaya za abunuasi
 
lawama, makolo ni majitu ya lawama sana, tangu 2021 walisha mtuhumu kuwa alichukua mpunga kutoka giesiemu ili awe ana toa boko kwa mechi za yanga, kwa kweli makolo ni majinga sana,
 
Acheni sasa naona mnatoka kwenye upumbavu mnaingia level ya ushenzi. Kwa kipi awakkmbie? Maana goli moja tuu mlituzidi.
 
Acheni sasa naona mnatoka kwenye upumbavu mnaingia level ya ushenzi. Kwa kipi awakkmbie? Maana goli moja tuu mlituzid
Iyo level ya ushenzi utakaa peke yako
 
Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
Anaogopa lawama mwenzio. Kila siku Simba inafungwa na Yanga....mara ya nne mfululizo na wakijitahidi mpaka mwisho ni kupata sare
 
Matusi ndio silaha yenu sio?
 
Aache kuiogopa Al Ahly aje kuiogopa timu ya vinyesi
MAKOLO mnashangaza sana[emoji23] Timu ya vinyesi inayowafunga kila siku pamoja na ushirikina wenu

Manula anamwogopa sana Fei Toto kuliko jini.

Mwambieni aache uoga wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…