Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

Sikupingi ila nauliza hivi viumbe vilichagua kwenda Marekani tu????
 
Uongo uongo tu.

Wapi Paulo aliema Yesu atamkuta hai? ?

Kuwafariji wakristo wathesalonike maana yake Yesu alikuwa anarudi wakati huo? Tuonyeshe aliwaambia nini wakati anawafariji.

Paulo kufa kabla Yesu hajarudi kuna prove nini?

Yesu mwenyewe alisema habari njema itahubiriwa ulimwenguni kote kwanza ndipo mwisho uje. Habari njema ilikuwa imeshahubiriwa dunianiani kote karne ya kwanza?

Wadhihaki mlikuwepo wakati wa Noah, karne ya kwanza walikuwepo, na kizazi cha mwisho mtakuwepo.

"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi

na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!”

Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.

Lakini mbingu na dunia ya sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa."

2petro.3.3-7.BHND
 
Walishakuja Afrika kufanya majadiliano yakashindikana? Which language do they speak?
Waje Afrika kufanya nini na waongee na Nani? Na Je Afrika kuna nini interesting?....Sightings, accidents,recovery nyingi zimetokea maeneo yenye Military installations ndio maana utasikia ni US,Russia,China,Europe na Kwa uchache maeneo ambayo ni rahisi kujificha au yenye historia Fulani kama America Kusini, Peru,Brazili nk... Sightings na recovery zote Jua ni Mali ya US,China,Russia and somehow Europe.....Ziwa Tanganyika Lina historia kidogo ya sightings.

Tuchangamshane kidogo maybe tutapata kitu kidogo cha kulala nacho.
 
Unaelewa hata maana ya ulimwengu wote? Soma biblia katika lugha mama na hadhira (audience) ambayo ilikusudiwa kuelewa huo ujumbe usijiundie mawazo yako akilini mwako. Mtume Yohana anaposema kama mambo yote aliyofanya Yesu yangeandikwa yote ulimwengu usingetosha kuhifadhi vitabu ambavyo vingeandikwa nalo hilo liko sawa in a literal sense ya ulimwengu unaoujua kwenye karne hii?? Kuna vitabu vingapi leo duniani na bado dunia haijajaa?? Hata ingekuwa ni vile vitabu vilikuwa vinaandikwa kwenye magome au ngozi bado ulimwengu haungejaa kuandika habari ya mtu mmoja.!
 
Watesalonike walikuwa chini ya ukandamizi wa utawala wa Warumi na Paulo aliandika kuwafariji. Wewe unachukua jambo lililopita zamani na kulitengenezea eschatological theology kana kwamba linahusu kizazi chako.
 
Majini unaishi nayo kila siku wapi? Majini ni nini kwanza?
 
Kwanini serikali peke yao ndo wajue, kwani huyo alien hawezi kutua shambani kwako ukiwa unalima...?
 
They have been cursed to not live on surface of Earth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…