Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
 
Wale ndiyo dunia hata kama hautaki mnyalukolo.Ukiichokoza Israeli umeichokoza U.S.Wasalimie hapo Kitakita na Lugalo.
 

Hawa ndiyo wataweza?
Hawa kazi yao ni ubishi tuu.hawawezi chochote
 
Wenye akili duniani wanafahamu hatari ya kuyaacha Magaidi yajitanue, ndio maana wako kimya na wanaunga mkono kimya kimya yatandikwe na kuharibiwa.
Ndiyo haswaa. Magaidi wakae kwa kutulia na sio kubwatuka-bwatuka hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…