Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Israel ipo ktk harakati ya kujilinda maana majirani wote wanataka kuiangamiza Israel. Lakini itafika wakati mataifa yote yatakwenda kuivamia Israel na wataonja joto ya jiwe maana Mungu mwenyewe atajidhihirisha kuwapigania Waisraeli.
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Ni Taifa lenye uwezo wa kupigana second yeyote na Taifa lolote Na Hakika PALESTINA, IRAN, JORDAN, SYRIA, MISIRI NA WENGINE WAFANANAO HAWANA UMOJA HATA KIDOGO YANI MATAIFA YOTE YANASHINDWA KUUNGANA KUPIGANA
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Kwa sababu Hamas nao wanaachiwa
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Unatafuta taifa la kuikemea Israel makini hautafuti taifa la kuwakemea magaidi, you are very stupid, maislamu hua ni majinga majinga.
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Unajua maana ya taifa teule wewe kilaza.
 
Haiwezekani kamwe. Hao kobaaz wanajilundika kwa makundi-makundi mfano wa makundi ya nyani eti wanamwendea "simba aliyejeruhia" kwa umoja wao feki kulipiza kisasi cha ngedere na kima walioliwa huko porini kwa uzembe wao wa kutopanda juu ya mti mrefu bali wanarandaranda chini eti wanapunga upepo.
Toast fasting ww mkojo wa yesu wafanye nn au ni platform tù yakuonyesha dada amekuachia teknobyy kanunuliwa I phone
 
Nimekupa "like" ya bure lakini ukweli sijakuelewa umesema nini hapo 👆 👆. Kama kuna mtu aliyeelewa naomba anisaidie. Mm nimetoka kapa.
 
Back
Top Bottom