Kwanini munampa Israel hati ya kumiliki Mungu Mkuu? Ina maana ili na wengine wapate fursa ya kumuomba huyo Mungu wa kweli inabidi wawe waisrael/wayahudi? Wengine wote hawana Mungu Mkuu isipokuwa waisrael. Haya mambo nyie mna chekechwa mno iweje hao wenye Mungu Mkuu hawaamini kabisa abadani kama Yesu alishakuja? Je wewe unaamini wako sahihi katika hili? Je wewe unaamini Mungu wako ni wa uwongo ni uombe Mungu wa myahudi? Wewe unaamini Yesu alishakuja au bado na wewe unamsubiri kwa mara ya kwanza?
Kitabu Talmud wanachotumia walikitoa wapi? Kwanini hawatumii Torati ya Mussa ambayo ndio kitabu sahihi cha Mungu wao? Wewe unaamini Mungu Mkuu anapatikana katika Torati au Talmud?
Mungu wa Yesu, Mussa na Muisraeli ni yupi Mungu wa kweli?