Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

unaweza fikiria Assad kadondokea pua eti sababu marekani ukweli ni Israel wamefanya kazikubwa

ogopa undumilakuwili kwenye viunga vya undumilakuwili(double agents)
 
Mwanzo nilikuwa upande wao ila kwa jinsi walivyowauwa viongozi wakubwa na raia huku wakiharibu vibaya miundo mbinu, ukiangalia jinsi wazee na watoto wanavyo teseka hii sasa ifike MWISHO hawa jamaa hawafai kama wakipata fursa wanaweza kuuwa dunia yote
 
Bahati nzuri wengine mnaona hayo mataifa yanavyonyaswa kwenye ardhi zao na pindi yakiamua kudai ardhi zao isionekane kuwa ni magaidi na hata jina la ugaidi hutumika kuhalalisha kuuawa Kwa watu hao
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Israel waachwe wasafishe hilo eneo... October 7 walibakwa na kuchinjwa... assume maiti 1200+ zimezagaa mtaani. Utapigwa risasi halafu unabuluzwa huku hamas wengine wanachukua video. Mimi nikikumbuka kifo cha Joshua naona Israel bora aendelee na vita hata kwa miaka mitatu mbele
 
Mwanzo nilikuwa upande wao ila kwa jinsi walivyowauwa viongozi wakubwa na raia huku wakiharibu vibaya miundo mbinu, ukiangalia jinsi wazee na watoto wanavyo teseka hii sasa ifike MWISHO hawa jamaa hawafai kama wakipata fursa wanaweza kuuwa dunia yote
Waachwe kidogo mkuu hata miaka miwili
 
Linapokuja swala la Usalama wa Israel huwa Israel haiamriwi na Taifa lo lote iwe Marekani au Russia au UK.
Inafanya inavyoona au inavyotaka.
Yeah. Inafanya inavyoona inafaa kufanya, inavyobidi kufanya au mazingira yanadictate nini kifanyike. Yes! Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Hilo ndo Israeli hawezi kuruhusu. Unaleta za kuleta, anagonga kwenye mshono chaap" ili siku nyingine usirudie. Hakuna cha kurembaremba eti aamriwe na Taifa lingine kana kwamba Israel yeye sio Taifa.
 
Bahati nzuri wengine mnaona hayo mataifa yanavyonyaswa kwenye ardhi zao na pindi yakiamua kudai ardhi zao isionekane kuwa ni magaidi na hata jina la ugaidi hutumika kuhalalisha kuuawa Kwa watu hao

The Umayyad Mosque (Arabic: الجامع الأموي, romanized: al-Jāmiʿ al-Umawī), also known as the Great Mosque of Damascus, located in the old city of Damascus, the capital of Syria, is one of the largest and oldest mosques in the world. Its religious importance stems from the eschatological reports concerning the mosque, and historic events associated with it. Christian and Muslim tradition alike consider it the burial place of John the Baptist's head, a tradition originating in the 6th centur

Yohana Mbatizaji alikuwa Myahudi ndugu yake na Yesu

sasa hapo tukileta hadithi za mwenyeji wa Ardhi, Wayahudi hawana haki kudai Damascus
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Uturuki na Iran sio Waarabu kasome ethnic za watu wa Dunia kama unatabia hiyo siku utakuja sema ni wachaga hao majamaa ya Middle East.. Even Lebanon sio arabs ni Phoenician.

Israel hatakiwi kucheka na mpumbavu yeyote yule iwe Saudia Arabia,Uturuki sijui wanafiki Misri. ikishafika issue ya National Security wapuuzi wote wanapuuzwa kwani lengo lao huwa ni Moja Israel ashindwe... wachochezi Aljazeera Iran n.k wanasiginwa tu.. Netanyahu keshawaambia anakata mikono tu
 
Uturuki na Iran sio Waarabu kasome ethnic za watu wa Dunia kama unatabia hiyo siku utakuja sema ni wachaga hao majamaa ya Middle East.. Even Lebanon sio arabs ni Phoenician
Hata Syrians ni Arabized Arabs sio Original Arabs.
 
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?

Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?

Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Huwa ananifurahisha yule msemaji wa jeshi, Admiral, Major General Daniel Hagari, anakuambia,

''...right now, at this moment, the IDF is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Back
Top Bottom