Kiufupi ni mapepo na roho chafu tuombe tuTumelogewa kupenda vya wenzetu, kuunda vyakwetu na kuvipenda Ni Hapana.
Hao Waroma waliiga kujenga kwa hizo columns kutoka kwa watu weusi wa Afrika. Hicho wanaita Greco-Roman architecture ni architecture ya watu weusi. Nyumba za nyasi zinatufaa vyema.
Sio mbaya, Tununue tu vya mzungu, kwani ni vibaya wewe kuweka lipicha la mzungu hapo kwenye Profile pic yakoKiufupi ni mapepo na roho chafu tuombe tu
Tunawaza mbususu tuu na kudemkaAkili zetu ni nyeusi hazioni mbele
Nani ka kuambia mimi ni mwafrika mwenzako bwasheeSio mbaya, Tununue tu vya mzungu, kwani ni vibaya wewe kuweka lipicha la mzungu hapo kwenye Profile pic yako
Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma,ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.View attachment 3403214View attachment 3403217
Binafsi hata sitaki uniamini mkuu, na wala sijawahi taka kuaminiwa na mtu yeyote humuKukuamini wewe ni nani ndio swala nisiloweza
Hicho ndicho tumefanikiwa kuiga hadi kuwazidi waliotufundishaKiufupi ni mapepo na roho chafu tuombe tu
😂😂😂Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na
IndeedHicho ndicho tumefanikiwa kuiga hadi kuwazidi waliotufundisha
kaa kwa kutuliaBinafsi hata sitaki uniamini mkuu, na wala sijawahi taka kuaminiwa na mtu yeyote humu
Ombeni salini sana siku yajakaa kwa kutulia
mfuko wa simenti unazidi kupanda beiMisri na Ethiopia angalau walijenga majengo ya maana wengine wote waliobaki ni vibanda vya nyasi na matope