Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

Misri na Ethiopia angalau walijenga majengo ya maana wengine wote waliobaki ni vibanda vya nyasi na matope​
Ethiopia hakuna kitu cha maana sana, hata hivyo Ethiopia imekuwa na muingiliano na Asia kwa muda mrefu sana kabla ya sub-saharan Africa, Watu waliokuwa Misri enzi hizo ni mjadala kama ni Waafrika weusi au watu wa rangi nyingine.
 
Hao Waroma waliiga kujenga kwa hizo column kutoka kwa watu weusi wa Afrika. Hicho wanaita Greco-Roman architecture ni architecture ya watu weusi. Nyumba za nyasi zinatufaa vyema.
Unajichanganya.
 
Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.

Ujenzi ni zao la ubunifu, na ubunifu ni zao la uwezo wa kiakili...

Kama huoni features za kibunifu kwenye ujenzi, basi tambua ni akili ya kawaida tu imetuka kwenye kufikiri...
 
Kama hauna roho mtakatifu ni kazi bure , tulio ndani ya Kristo tuna amani tele😊 na upendo wa ajabu wala hatuna matusi 😇😇😇😇
ukizingua nakutukana tena, Na Yesu tunae bado
 
Majengo ya wizara mbalimbali huko Dom sijajua hiyo design ya kupachika mavioo ndiyo habari ya mjini ama vipi.

Bora wangedesa kama hii,mji ule ungependeza sana.
Iconic-Carlton-Centre-Up-for-Sale-Marking-the-End-of-an-Era-768x461.jpeg
 
Ethiopia hakuna kitu cha maana sana, hata hivyo Ethiopia imekuwa na muingiliano na Asia kwa muda mrefu sana kabla ya sub-saharan Africa, Watu waliokuwa Misri enzi hizo ni mjadala kama ni Waafrika weusi au watu wa rangi nyingine.
Hakuna jamii ambayo haina mwingiliano ndio maana ukiangalia temples zilizokuwa China, Japan, Korea na Thailand zinafanana kwa namna fulani

Majengo ya Babylon, Greece na Roma nayo yanafanana kwa hiyo mwingiliano wa kijamii uliathiri hata architectural design

Babylon, Greece, Ethiopia na Rome wote walijifunza kutoka Egypt
​
 
Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma,ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Mwamba hapo Chini ndoa tegemeo letu la kuleta madiliko chanya Katika mustakabal thabeet wa mwafrika Kwa kupanua wigo Mpana.kuubadilisha ummah wa mwafrika Katika Nyanja mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
View attachment 3403227View attachment 3403228View attachment 3403229

Harmful hearly adriz Fake P Jagina Covax dronedrake Al-mukheef Makonde plateu
Mtu ana tangazaje dini Huku akiwa ameshika upanga ndio maana mnaitwa magaidi , No wonder why watu Wana wachukia !! Yaani wameshindwa kutumia picha nzuri zenye unyenyekevu na hekima badala yake wanatumia picture kama hizi zinazo akisi violence eti ndio image ya Kiongozi wa dini!!!!


Huyo anakuwa ni Kiongozi wa dini Sasa Au ni king slayer wa kwenye game of throne!? Au Richard the seeker!?
 
Tukana tu mangi matusi yako ya kinifanya nisipate pesa nakuzingua
calm down man,
Umesema wewe ni mfuasi wa Yesu, Nakukumbusha. Ukilala Yesu atatuma wafanyakazi wake wakutokee Ndotoni ukiwa katika usingizi,

Usisahau kuwasikiliza watakwambia nini 😁😁✌🏾
 
Si Kweli Wa Africa wengi wamejenga majengo ya kisasa karne na karne kinachoikumba Africa ni ukosefu wa funds tu.

Anza na Egpty na Pyramid, Nenda Ethiopia, Nenda Timbuktu Mali, Nenda Great Stone town Zimbabwe, Njoo Kilwa, Nenda Zanzibar etc kote huko kuna Architecture za maana miaka na miaka.

By 1880s kabla ya Berlin conference tayari Zanzibar wana Maghorofa yenye lift na Umeme, at same time London na New York walikua Waki experiment na Taa za barabarani za Umeme Zanzibar nao wanaweka umeme na taa za barabarani. Kuna majiji kibao hapo Ulaya hana Lift na Umeme.
 
Back
Top Bottom