Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma,ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Mwamba hapo Chini ndoa tegemeo letu la kuleta madiliko chanya Katika mustakabal thabeet wa mwafrika Kwa kupanua wigo Mpana.kuubadilisha ummah wa mwafrika Katika Nyanja mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
View attachment 3403227View attachment 3403228View attachment 3403229

Harmful hearly adriz Fake P Jagina Covax dronedrake Al-mukheef Makonde plateu
Inahusiana vipi na hii mada?
 
Si Kweli Wa Africa wengi wamejenga majengo ya kisasa karne na karne kinachoikumba Africa ni ukosefu wa funds tu.

Anza na Egpty na Pyramid, Nenda Ethiopia, Nenda Timbuktu Mali, Nenda Great Stone town Zimbabwe, Njoo Kilwa, Nenda Zanzibar etc kote huko kuna Architecture za maana miaka na miaka.

By 1880s kabla ya Berlin conference tayari Zanzibar wana Maghorofa yenye lift na Umeme, at same time London na New York walikua Waki experiment na Taa za barabarani za Umeme Zanzibar nao wanaweka umeme na taa za barabarani. Kuna majiji kibao hapo Ulaya hana Lift na Umeme.
Ninakubaliana na wewe .

You've done your research well
 
Misri na Ethiopia angalau walijenga majengo ya maana wengine wote waliobaki ni vibanda vya nyasi na matope​
Great Stone town zimbabwe
images (81).jpeg


Kilwa
images (82).jpeg


Timbuktu
images (83).jpeg
 
Mtu ana tangazaje dini Huku akiwa ameshika upanga ndio maana mnaitwa magaidi , No wonder why watu Wana wachukia !! Yaani wameshindwa kutumia picha nzuri zenye unyenyekevu na hekima badala yake wanatumia picture kama hizi zinazo akisi violence eti ndio image ya Kiongozi wa dini!!!!


Huyo anakuwa ni Kiongozi wa dini Sasa Au ni king slayer wa kwenye game of throne!? Au Richard the seeker!?
Hahaha mtuacheni na imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Bado tunaendelea kuomboleza hata baada ya wiki moja Ashura kupitia.
Screenshot_2025-07-11-11-54-34-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg


adriz
 
Si Kweli Wa Africa wengi wamejenga majengo ya kisasa karne na karne kinachoikumba Africa ni ukosefu wa funds tu.

Anza na Egpty na Pyramid, Nenda Ethiopia, Nenda Timbuktu Mali, Nenda Great Stone town Zimbabwe, Njoo Kilwa, Nenda Zanzibar etc kote huko kuna Architecture za maana miaka na miaka.

By 1880s kabla ya Berlin conference tayari Zanzibar wana Maghorofa yenye lift na Umeme, at same time London na New York walikua Waki experiment na Taa za barabarani za Umeme Zanzibar nao wanaweka umeme na taa za barabarani. Kuna majiji kibao hapo Ulaya hana Lift na Umeme.
Mimi naongela Architecture designs na majengo ya kushangaza wewe unaongelea lift za Zanzibar na taa za Barabarani zilizoletwa na wazungu karne ya 19!
 
Kilwa ilijengwa kwa architectural design ya Kiarabu

Timbuktu ilikuwa kituo muhimu cha kibiashara kati ya West Africa na nchi za Kiarabu kama Egypt

Hata wasomi wengi kutoka Egypt na nchi nyingine za Kiarabu walipita hapo na kuacha alama mfano dini ya kiislamu na ujenzi wao wa mud-and-brick uliotumika kujenga majengo chimbuko lake ni nchi za Middle East
​
 
Hao Waroma waliiga kujenga kwa hizo columns kutoka kwa watu weusi wa Afrika. Hicho wanaita Greco-Roman architecture ni architecture ya watu weusi. Nyumba za nyasi zinatufaa vyema.
Weka mifano mkuu
 
Tuanze na wewe mwenzetu...kipi kimekuchelewesha?
 
Kilwa ilijengwa kwa architectural design ya Kiarabu

Timbuktu ilikuwa kituo muhimu cha kibiashara kati ya West Africa na nchi za Kiarabu kama Egypt

Hata wasomi wengi kutoka Egypt na nchi nyingine za Kiarabu walipita hapo na kuacha alama mfano dini ya kiislamu na ujenzi wao wa mud-and-brick uliotumika kujenga majengo chimbuko lake ni nchi za Middle East
​
Kilwa sio waarabu bali Persia wenye Asili ya Africa, prince wa Iran ya kale aliekuja Kilwa alikua ni chotara wa Africa na Iran.

Pia ukisoma namna Empire za Zanzibar na Kilwa zilivyojiendesha haikua ni Empire moja bali muunganiko wa Swahili tribes, so una Kilwa kama HQ na empire ndogo ndogo kibao mnashare kila kitu.
 
Sisi tumeweka kwenye mbususu mkuu, sasa hivi kuna sector inakuwa kwa kasi sana nayo ni sector ya uchawa
 
Mimi naongela Architecture designs na majengo ya kushangaza wewe unaongelea lift za Zanzibar na taa za Barabarani zilizoletwa na wazungu karne ya 19!
Jengo kinaitwa bait el ajab kiswahili nyumba ya maajabu, Wazungu wanatoka Ulaya kuja kuliangalia Africa, UMoja wa mataifa unaliangalia, mamilioni ya watu wanaenda kuliangalia kila mwaka halafu anatokea mbumbumbu mmoja anajifanya analijua zaidi kwamba yeye Anaongelea majengo ya kushangaza ila hilo halipo na Unesco, Watalii na wote wanaovutiwa na hilo jengo hawajui kitu.
 
Kilwa sio waarabu bali Persia wenye Asili ya Africa, prince wa Iran ya kale aliekuja Kilwa alikua ni chotara wa Africa na Iran.

Pia ukisoma namna Empire za Zanzibar na Kilwa zilivyojiendesha haikua ni Empire moja bali muunganiko wa Swahili tribes, so una Kilwa kama HQ na empire ndogo ndogo kibao mnashare kila kitu.
Watu wa kwanza kufika Pwani ya Afrika Mashariki walikuwa Waarabu na Waajemi

Waarabu wakaacha dini ya Kiislam na Arabic architecture of building mfano ni majengo ya Kilwa na Bagamoyo
​
 
Swali Kama hili unaweza ukajiulize je kwanini vyoo Vya Nyumba za uswahili havina Mabati ?
Shaban Robert aliyasema kwenye kitabu chake cha 'Kusadikika' kuwa watu walibishana sana kuwa ya nini tujenge barabara pana wakati up ana wa miguu yetu ni cm kadhaa. Hivyo kuhusu choo walibishana kwanini tuwekee paa wakati mtu anatumia choo dakika kadhaa tu. Sijui umenielewa?
 
Back
Top Bottom