munkango
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 435
- 788
Sababu kuubwa ni umaskini na kuridhika na uduni.
Pia sababu nyingine ni hali ya hewa ambapo kwa Afrika hakuna hali ya hewa hatarishi ambapo banda la nyasi mtu anaweza kukaa mwaka mzima tofauti na Ulaya.
Hata hivyo kuna ukweli kuwa Ubunifu wa mwanzo kabisa ulianzia Misri, kuna majengo pia Sudan, Ethiopia na Zimbabwe. Pia kwa ukanda wetu kuna miji ya kale kama Kilwa , Mombasa na Zanzibar
Kuhusu ubunifu ni kuwa kuna kutoheshimu taaluma. Hapa unakuta Wasanifu majengo hawapewi kipaumbele. Watu wana copy ramani na kujenga majengo yasiyo na mvuto hata katika miradi ya Serekali. Wakati nchi za Ulaya wanaitisha mashindano ya ubunifu kwenye majengo na miundombinu yao. Huku hata Wasanifu waliopo hawapewi kazi.