Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.
 
Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma,ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Mwamba hapo Chini ndoa tegemeo letu la kuleta madiliko chanya Katika mustakabal thabeet wa mwafrika Kwa kupanua wigo Mpana.kuubadilisha ummah wa mwafrika Katika Nyanja mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi na kijamii.


Harmful hearly adriz Fake P Jagina Covax dronedrake Al-mukheef Makonde plateu
 
ugali unatudumaza afu tunaroho mbaya.akitokea mbunifu yeyote au mwenye kipaji analogwa au anapuuzwa hivyo anakufa na maarifa yake,chochote unachokiona ni matokeo ya maarifa kipaji cha watu.anazaliwa anakamilisha kusudio lake anakufa na kuacha ujuzi kwa wengine
 
Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…