Mfupawasokwe
Member
- Sep 12, 2024
- 83
- 130
Inahusiana vipi na hii mada?Bado hatujachelewa. Yote tumkabidhi Tu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma,ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Mwamba hapo Chini ndoa tegemeo letu la kuleta madiliko chanya Katika mustakabal thabeet wa mwafrika Kwa kupanua wigo Mpana.kuubadilisha ummah wa mwafrika Katika Nyanja mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
View attachment 3403227View attachment 3403228View attachment 3403229
Harmful hearly adriz Fake P Jagina Covax dronedrake Al-mukheef Makonde plateu
Ninakubaliana na wewe .Si Kweli Wa Africa wengi wamejenga majengo ya kisasa karne na karne kinachoikumba Africa ni ukosefu wa funds tu.
Anza na Egpty na Pyramid, Nenda Ethiopia, Nenda Timbuktu Mali, Nenda Great Stone town Zimbabwe, Njoo Kilwa, Nenda Zanzibar etc kote huko kuna Architecture za maana miaka na miaka.
By 1880s kabla ya Berlin conference tayari Zanzibar wana Maghorofa yenye lift na Umeme, at same time London na New York walikua Waki experiment na Taa za barabarani za Umeme Zanzibar nao wanaweka umeme na taa za barabarani. Kuna majiji kibao hapo Ulaya hana Lift na Umeme.
Great Stone town zimbabweMisri na Ethiopia angalau walijenga majengo ya maana wengine wote waliobaki ni vibanda vya nyasi na matope
unataka kusema utahira ni sisi Tanzania sio Afrika 😁🤧Great Stone town zimbabwe
View attachment 3403239
Kilwa
View attachment 3403240
Timbuktu
View attachment 3403242
Hahaha mtuacheni na imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Bado tunaendelea kuomboleza hata baada ya wiki moja Ashura kupitia.Mtu ana tangazaje dini Huku akiwa ameshika upanga ndio maana mnaitwa magaidi , No wonder why watu Wana wachukia !! Yaani wameshindwa kutumia picha nzuri zenye unyenyekevu na hekima badala yake wanatumia picture kama hizi zinazo akisi violence eti ndio image ya Kiongozi wa dini!!!!
Huyo anakuwa ni Kiongozi wa dini Sasa Au ni king slayer wa kwenye game of throne!? Au Richard the seeker!?
Mimi naongela Architecture designs na majengo ya kushangaza wewe unaongelea lift za Zanzibar na taa za Barabarani zilizoletwa na wazungu karne ya 19!Si Kweli Wa Africa wengi wamejenga majengo ya kisasa karne na karne kinachoikumba Africa ni ukosefu wa funds tu.
Anza na Egpty na Pyramid, Nenda Ethiopia, Nenda Timbuktu Mali, Nenda Great Stone town Zimbabwe, Njoo Kilwa, Nenda Zanzibar etc kote huko kuna Architecture za maana miaka na miaka.
By 1880s kabla ya Berlin conference tayari Zanzibar wana Maghorofa yenye lift na Umeme, at same time London na New York walikua Waki experiment na Taa za barabarani za Umeme Zanzibar nao wanaweka umeme na taa za barabarani. Kuna majiji kibao hapo Ulaya hana Lift na Umeme.
Hayo majengo yanajengwa sana Africa usichoelewa ni tofauti ya aliyeendelea na anayeendelea.Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.View attachment 3403214View attachment 3403217
Great Stone town zimbabwe
View attachment 3403239
Kilwa
View attachment 3403240
Timbuktu
View attachment 3403242
Hivi Wamisri,Waethiopia tuwaweke kundi gani ?
Weka mifano mkuuHao Waroma waliiga kujenga kwa hizo columns kutoka kwa watu weusi wa Afrika. Hicho wanaita Greco-Roman architecture ni architecture ya watu weusi. Nyumba za nyasi zinatufaa vyema.
Hao sio wabantu nafikiriMisri na Ethiopia angalau walijenga majengo ya maana wengine wote waliobaki ni vibanda vya nyasi na matope
Kilwa sio waarabu bali Persia wenye Asili ya Africa, prince wa Iran ya kale aliekuja Kilwa alikua ni chotara wa Africa na Iran.Kilwa ilijengwa kwa architectural design ya Kiarabu
Timbuktu ilikuwa kituo muhimu cha kibiashara kati ya West Africa na nchi za Kiarabu kama Egypt
Hata wasomi wengi kutoka Egypt na nchi nyingine za Kiarabu walipita hapo na kuacha alama mfano dini ya kiislamu na ujenzi wao wa mud-and-brick uliotumika kujenga majengo chimbuko lake ni nchi za Middle East
Jengo kinaitwa bait el ajab kiswahili nyumba ya maajabu, Wazungu wanatoka Ulaya kuja kuliangalia Africa, UMoja wa mataifa unaliangalia, mamilioni ya watu wanaenda kuliangalia kila mwaka halafu anatokea mbumbumbu mmoja anajifanya analijua zaidi kwamba yeye Anaongelea majengo ya kushangaza ila hilo halipo na Unesco, Watalii na wote wanaovutiwa na hilo jengo hawajui kitu.Mimi naongela Architecture designs na majengo ya kushangaza wewe unaongelea lift za Zanzibar na taa za Barabarani zilizoletwa na wazungu karne ya 19!
Hapana, mbona vyq kwetu tunaunda pia? Hujaona baiskeli za udongo na miti?Tumelogewa kupenda vya wenzetu, kuunda vyakwetu na kuvipenda Ni Hapana.
Kilwa sio waarabu bali Persia wenye Asili ya Africa, prince wa Iran ya kale aliekuja Kilwa alikua ni chotara wa Africa na Iran.
Pia ukisoma namna Empire za Zanzibar na Kilwa zilivyojiendesha haikua ni Empire moja bali muunganiko wa Swahili tribes, so una Kilwa kama HQ na empire ndogo ndogo kibao mnashare kila kitu.
Shaban Robert aliyasema kwenye kitabu chake cha 'Kusadikika' kuwa watu walibishana sana kuwa ya nini tujenge barabara pana wakati up ana wa miguu yetu ni cm kadhaa. Hivyo kuhusu choo walibishana kwanini tuwekee paa wakati mtu anatumia choo dakika kadhaa tu. Sijui umenielewa?Swali Kama hili unaweza ukajiulize je kwanini vyoo Vya Nyumba za uswahili havina Mabati ?