Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha mahakama au sayansi ya kemia fizikia au baiolojia. Vijineno vinatosha kabisa
Hizo ni principle za ulimwengu wako, lakini hii The Universe ambayo tunaishi sisi.

Mwizi lazima akamatwe, na mahakama lazima imtie hatiani, Kisha hapo anakuwa mwizi kweli na kuhukumiwa .

Kuna kitu kitu kinaitwa "THE RIGHT TO BE PRE ASSUMED INNOCENT ,UNTIL THE GUILT PROVED BY THE COURT "

haki ya kutoonekana umetenda kosa mpaka mahakama iwe imethibitisha, Tena beyond reasonable doubt.

Hii ndiyo kanuni na ustaarabu wa Mahakama katika sheria.

Tupe taratibu zaidi za wezi kwenye SAYARI AU DUNIA UNAYOISHI WEWE.πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Sometimes sheria huwa ina-shift burden of proof to the accused, hii hutaijua kama bado unakariri notices za criminal law
 
Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.

Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Jambo peke la kumtia mtu hatian ni mahakama kama mahakama kama haukumpeleka Kwa ushahid na pia mahakama haijawai mtia hatian atawezaje kukubali au kukanusha ??
 
Jambo peke la kumtia mtu hatian ni mahakama kama mahakama kama haukumpeleka Kwa ushahid na pia mahakama haijawai mtia hatian atawezaje kukubali au kukanusha ??
Nyie mna ushahidi wa Mbowe kulamba asali? Au ndio kunya anye kuku?
 
Sometimes sheria huwa ina-shift burden of proof to the accused, hii hutaijua kama bado unakariri notices za criminal law
Mkuu utakuwa ulikuwa bingwa wa kukariri notices, ndo maana unawawazia wenzako nao wamekari noticesπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ukweli unabaki ushahidi ni lazima uwe wa hakika, beyond reasonable doubt,ni hivyo b,acha POMPOSITY na arrogance hazikusaidii kitu
 
Nadhani tunatumia resources zetu kama taifa kwenye vitu abstract ambavyo hata mwisho wa siku havitusaidii.., Kwa ufupi:
  • Je wanasiasa ni angels ? In short hapana na sio Lema tu wengi ni wanafiki na wana makando kando mengi sana..,
  • Je unaweza kuhakikisha / ku-prove, kama unachosema alifanya hata kama alifanya kwamba kweli alifanya (jibu ni hapana na tutabaki kwenye he say / she say; au anaweza kusema ni kweli alikuwa mwizi na sasa hivi amebadilika (prodigal son), kwahio hitimisho ni kwamba tutakuwa tunapoteza muda...
Ushauri badala ya kutumia rasilimali kwa kutafuta tunachokijua deep down kwamba hawa sio malaika ni bora tuka deal na issues currently zinavyotokea na zinavyoendelea kutokea mfano maisha kitaa yanazidi kutupiga wakati tunaambiwa mapato yanaongezeka na bakuli linatembezwa.., Je ni nani anaiba au wapi pakacha linavuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…