Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Nasikia Gentleman ulikuwa tingo kwenyebhayo malori 🤣🤣🤣🤣😅🤣😅🚴🚴sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Gentleman ulikuwa tingo kwenyebhayo malori 🤣🤣🤣🤣😅🤣😅🚴🚴sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli 🐒
Mwambie anitafute nipo Dodoma,Kura kwa Lissu!amekaa siti ya mbele mkutano mkuu CCM hawezi kuchati 🐒
Kwahiyo CCM siyo wezi na mafisadi wa mali za umma maana hawajafunguliwa kesi wala kupekekwa mahakamani. Mnawasingizia tuu.Alipelekwa mahakamani? Alifunguliwa kesi?
kuku wote wameisha Dodoma, sijui mtakula nini sasa dah 🐒Mwambie anitafute nipo Dodoma,Kura kwa Lissu!
kumbafu sana gentleman, alaaa! at nini?🤣Nasikia Gentleman ulikuwa tingo kwenyebhayo malori 🤣🤣🤣🤣😅🤣😅🚴🚴
Hizo ni principle za ulimwengu wako, lakini hii The Universe ambayo tunaishi sisi.Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha mahakama au sayansi ya kemia fizikia au baiolojia. Vijineno vinatosha kabisa
Nini Tena ndugu yangu GENTLEMAN??kumbafu sana gentleman, alaaa! at nini?🤣
Sometimes sheria huwa ina-shift burden of proof to the accused, hii hutaijua kama bado unakariri notices za criminal lawHizo ni principle za ulimwengu wako, lakini hii The Universe ambayo tunaishi sisi.
Mwizi lazima akamatwe, na mahakama lazima imtie hatiani, Kisha hapo anakuwa mwizi kweli na kuhukumiwa .
Kuna kitu kitu kinaitwa "THE RIGHT TO BE PRE ASSUMED INNOCENT ,UNTIL THE GUILT PROVED BY THE COURT "
haki ya kutoonekana umetenda kosa mpaka mahakama iwe imethibitisha, Tena beyond reasonable doubt.
Hii ndiyo kanuni na ustaarabu wa Mahakama katika sheria.
Tupe taratibu zaidi za wezi kwenye SAYARI AU DUNIA UNAYOISHI WEWE.🤔🤔🤔
Jambo peke la kumtia mtu hatian ni mahakama kama mahakama kama haukumpeleka Kwa ushahid na pia mahakama haijawai mtia hatian atawezaje kukubali au kukanusha ??Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Nini Tena ndugu yangu GENTLEMAN??
Tuonane Bambaraga Leo jioni Mkuu, njoo inbox tuyajenekiti
Mkuu utakuwa ulikuwa bingwa wa kukariri notices, ndo maana unawawazia wenzako nao wamekari notices😃😃Sometimes sheria huwa ina-shift burden of proof to the accused, hii hutaijua kama bado unakariri notices za criminal law
Mpeleke mahakamani kama una ushahidi, Acha umbea.sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli 🐒
Vipi atagombea?? Maana alisemaga hafikirii kugombea Urais ,na gazeti la Uhuru liliandika hivyo!!Tuliza ball,
mwenyekiti wa CCM anazungumza na waTanzania gentleman 🐒
Gentleman,Vipi atagombea?? Maana alisemaga hafikirii kugombea Urais ,na gazeti la Uhuru liliandika hivyo!!
hata pesa za Join the chain pia alizila na kuzitafuna kweli kweli huyu jambazi 🐒Mpeleke mahakamani kama una ushahidi, Acha umbea.
Hakuna jipya.Gentleman,
Magazeti subiri kesho anaongea live muda huu, mskilize yeye mwenywe 🐒