Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Sijapenda.
Kwanini hauja reply au ku interact na Eleven boy hata sehemu moja?
Hujaona hoja katika comments zake au umemlia buyu kama reflection ya uzi wako? 😀
Nimemjibu reply moja
Mimi na yeye mifumo haosomani
Ni mtu ambaye kama unataka utulivu wa akili sio wa ku interact nae

Kiufupi simkubali wala nini
 
Kwa mimi huwa naona kumkubali au kutomkubali mtu, kunachangiwa na body appearance... Kwa mfano Kuna mtu akiniona mimi mcTobby na lipua langu🤧 likubwa au mategee anatokea tu kunichukia au kutonikubali ... Na unakuta hatujafanyiana ubaya ...
Tayari hapo sabahu ipo kwanini hakukubali 😅
 
Uzi una makundi mawili tofauti, Wazee wa frequency (Vibration/energ) vs wazee wa sayansi ya ubongo (Subconscious mind)

Tushike lipi? Au tuchukue zote kama school of thoughts.
Hapo kwenye frequency ni kwa ajili ya wateule tu, na sio mabichwa komwe kama sisi.

Though i agree, it plays a very big role.

Ulimwengu tunaoishi ni digital. Unaweza kuwa ni digital, AI, au ulimwengu wa kinishati. Take them all into a possible equation.

Kwa maana hiyo, wale wateule wachache mara nyingi wanakuwa na mawimbi makali sana ya kinishati ambayo yanaweza kuvuruga mfumo mzima wa hii AI digital world. The system senses this disruption as a virus. A disturbance.

Kwa kuwa sasa haya mabichwa komwe yameunganishwa moja kwa moja na mfumo wa ulimwengu, and they act like bots, wanamvamia yule mteule kwa kasi sana. Ndio maana unakuta mtu anakuchukia haswa anatamani hata kukuzaba bao la uso.

A sort of gangstalking or something of the sort.

Hii ni theory mojawapo tu. Japo sababu zingine kama wivu na uchawi zinaweza kuchukua nafasi kubwa zaidi.

Hasa hasa uchawi. Roho ya korosho haswa.
 
Nadhani mifumo yetu haisomani kwenye njia moja kabisa

Anyway kila la kheri 🙏🙏
 
Wanasemaga energy don't lie .

Mkuu hujawahi kutana na mtu arafu ulipomuoma pasipo hata kuongea nae akawa anakupa vibe la mtu flani familiar?
Yeah inawezekana kabisa
Hivi ni ngumu kumtambua mtu evil ane pretend kuwa mwema?
Mkuu!
Nikiendelea nitazua mada nyingine ya spirituality.

Kwangu mimi kumtambua mtu anae pretend kua mwema ni rahisi sana
Tena nilivyo nikugundua wala sitakuonesha nakuacha na ujinga wako

Endelea bro hakuna shida kabisa
 
Nadhani mifumo yetu haisomani kwenye njia moja kabisa

Anyway kila la kheri 🙏🙏
Hahahaha😂..

Ni kweli na hakuna matata,

Ngoja ni deal na binti kiziwi wangu ambaye hata zodiac signs zetu zina align.

Ewe binti kiziwi just went to do my research and this is what I got, it is written in the stars ✨


Just you know it, my intuition wa right all along.
 
Sababu ipo.
Hakuna kitu kinafanyika bila sababu.

Mimi naamini tunasema bila sababu kwa sababu hisia ya kumpenda/chukia mtu "bila sababu" inakua imetokana na sababu ambayo one of our senses imenote ila ubongo haujakutafsiria clearly kiasi cha kuweza kuweka kidole chako na kusema hii ndio sababu so unabakia kuhisi hisi tu.
 
How does AI influence this?

Energy vampires kweli wapo na hawajui hata kuwa wao ndo wana negative energy.

Sasa wewe bichwa komwe mbona huwa unapenda kuandika ujinga humu?

If you know all of that mbona bado huwa unaandika na ku emit negative vibes?

Huoni unakuwa kama shetani? Anayejua kipawa chake ila anaitumia katika kuharibu badala ya kujenga?
 
Upo sahihi
Ukienda huko kwenye zodiac sign, mimi ni Virgo so nadhani unajua kuhusu Virgo bro 😂

Kamwe siwezi kuvumilia ku-interact na mtu asiye na nidhamu kwangu eti kwa sababu tu nionekane ni mtu poa
Hilo haliwezekani kabisa

Na sio kwamba nakuchukia no
Sina chuki na wewe, ila sipendi tu njia zako
Basi tuheshimiane tu hivyo tu yaani🙏🙏
 
Hii comment nimeielewa sana
 
Ego....
 
Sahihi kabisa
Sababu hua IPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…