Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ni nchi kubwa sana kuleta maendeleo ni ngumu sana na hata hivyo wamejitahidi sanaVideo fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Ni kweli Tanzania ni masikini wa kutupwa sijawahi kupinga hilo.Nchi Yako na Urusi ipi tajiri?
Hujawahi hata kufika huko Urusi unaleta habari za kusikia?
Taifa lako maskini mmekalia kusifu wanasiasa unaijadili Urusi! Serious?
Chukua china changanya na marekani haifikii urusi kwa ukubwaChina,Marekani ni nchi ndogo ?
We mbumbumbu kweli.Video fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Hata China na Marekani maendeleo yapo mikononi mwa watu wachache maendeleo ya Nchi ni madogo,China,Marekani ni nchi ndogo ?
Indonesia imeingia G20 na ni katika nchi zinazo kua kwa Kasi sasa hivi, wanatumia Rasilimali zao za asili kama Source kubwa ya mapato.Video fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Kuna vicha humu acha tuUrusi ni nchi masikini?.
Urusi hakupaswa awepo alipo.Indonesia imeingia G20 na ni katika nchi zinazo kua kwa Kasi sasa hivi, wanatumia Rasilimali zao za asili kama Source kubwa ya mapato.
Nchi za Gulf, Ulaya ya Kaskazini kama Norway etc wote wametoboa kwa kusimamia vizuri Rasilimali zao, so inawezekana ukawa na Rasilimali na pia ukatoboa.
Urusi ni masikini? we ni mjinga kweliVideo fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?